Home
Unlabelled
barabara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Barabara nzuri zisiwe tu DSM bali waziweke kila kona ya Tanzania na Kila kona ya mikoa.
ReplyDeletePia na sisi wabongo tuziweze kuzitunza pia ili zidumu.
haa mwanangu hall six hilo.kaka michuzi nashukuru sana kwa kunikumbuha maeneo yangu. miaka minne chuoni na miaka minne YOTE hall six. wee....usipime
ReplyDeleteENGINEER PROSPER.
Michuzi wanikumbusha machungu aliyonipa wadeni wa hall six
ReplyDeletehiyo barabara inanikumbusha nilivyotaka kugogwa na gari nilipoambiwa nime disco,washenzi sana malecturer wa FOE siku hizi CoET
ReplyDeleteMajengo yanayoonekana sio Hall six, bali ni Hall 4, Hall 5 na Hall 2. Picha hiyo imepigwa karibu na utawala kwa uelekeo huo haiwezekani ukaona Hall 6 na Hall 5 na 2.
ReplyDeleteAsante HH maana watu walianza kuleta longolongo hapo. Ila kitu kimoja tu ni kuwa hapo hall 2 haionekani hilo jengo kwenye background ni hall 5 tu. Foreground ni hall 4.
ReplyDeleteMzee umechemza zaidi! ingepigwa toka bondeni ile njia ya miguu ya kwenda Hall 7 isingeonekana, aliyepiga ni lazima alikuwa kwenye mwinuko ndio maana unaonekana huo mteremko. Kwa taarifa Kontena halipo tena kuna kituo cha Mabasi na kumetengenezwa bustani ya maua.
ReplyDeleteNyie wote hamjui, mbona mnatupotosha, sasa hivi kuna reli, hebu rudini nchini haraka sana......
ReplyDelete