barabara zote za chou kikuu cha yunivesti dar zimetiwa lami kama hivi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Barabara nzuri zisiwe tu DSM bali waziweke kila kona ya Tanzania na Kila kona ya mikoa.

    Pia na sisi wabongo tuziweze kuzitunza pia ili zidumu.

    ReplyDelete
  2. haa mwanangu hall six hilo.kaka michuzi nashukuru sana kwa kunikumbuha maeneo yangu. miaka minne chuoni na miaka minne YOTE hall six. wee....usipime

    ENGINEER PROSPER.

    ReplyDelete
  3. Michuzi wanikumbusha machungu aliyonipa wadeni wa hall six

    ReplyDelete
  4. hiyo barabara inanikumbusha nilivyotaka kugogwa na gari nilipoambiwa nime disco,washenzi sana malecturer wa FOE siku hizi CoET

    ReplyDelete
  5. Majengo yanayoonekana sio Hall six, bali ni Hall 4, Hall 5 na Hall 2. Picha hiyo imepigwa karibu na utawala kwa uelekeo huo haiwezekani ukaona Hall 6 na Hall 5 na 2.

    ReplyDelete
  6. Asante HH maana watu walianza kuleta longolongo hapo. Ila kitu kimoja tu ni kuwa hapo hall 2 haionekani hilo jengo kwenye background ni hall 5 tu. Foreground ni hall 4.

    ReplyDelete
  7. Mzee umechemza zaidi! ingepigwa toka bondeni ile njia ya miguu ya kwenda Hall 7 isingeonekana, aliyepiga ni lazima alikuwa kwenye mwinuko ndio maana unaonekana huo mteremko. Kwa taarifa Kontena halipo tena kuna kituo cha Mabasi na kumetengenezwa bustani ya maua.

    ReplyDelete
  8. Nyie wote hamjui, mbona mnatupotosha, sasa hivi kuna reli, hebu rudini nchini haraka sana......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...