Home
Unlabelled
makongoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu Mzee Kiboko!Katika maswala ya sanaa wazee kama huyu, Dr Hukwe Zawose, Moris Nyunyusa ingekuwa niheshima wawe hata na masanamu yao yakuwaenzi Tanzania.
ReplyDeletempango wa pili wa maendeleo umesema "kuleni kuku, mayai, mboga, samaki, maziwa na chakula bora, hivyo ni vyakula bora vya kuujenga mwili na kujenga nyumba safi pakulala pawe bora"
ReplyDeleteMjomba, hii series ya hawa magwiji wa uhamasishaji umma nilikuomba mpka nikasema basi. Sasa nakuomba tena utuletee series za kina Marehemu Mzee Ramadhani Mwinamila, Marehemu Mzee Makongoro, utelemke mpaka kina Marehemu Mwalimu Hukwe Zawosse, Marehemu Bregedia Moses Nnauye, Luteni wa JKT, uje kwa Kapteni John Komba, hadi Meya Mavunde, tumalizie na Watoto wa Jah Kaya!
Hapo kwa Chifu Mazengo umenikuna kisawasawa nimewapelekea taarifa wana wa uzao wake. Sasa humo namo ndugu yangu hebu tuangushie series yao Kina Mtemi Mkwawa, Mirambo, Chabruma, Marealle, Makwaia tena huyu ndiye mjumbe/mbunge wa kwanza wa Kitanganyika katika Legislative Council of Tanganyika akiwakilisha Federation of Sukuma People, na wengineo wa kariba yao. Pia kama inawezekana naomba utuletee picha ya Kinjeketile Ngwale, Mmatumbi aliyebuni na kuongoza 'sokomoko' la Maji Maji. Mjomba hii mishababi ilikuwa ni moto. Mungu Awalaze Pema, Amen.
F MtiMkubwa Tungaraza.
Aisee Michuzi wee mkali...huyu jamaa nilikuwa namsikia tu kwenye bomba nilipokuwa kijijini sikuweza hata kupata pepa...ila ujumbe wake kwenye redio ilikuwa "Tosha" angalau leo hii nimepata kuona picha yake huyu marehemu makongoro..hawa ndio wasanii wa kukumbukwa daima...
ReplyDelete