kocha wa taifa marcio maximo akionesha plani ya anavyotaka uwanja wa karume stediumu pale ilala uwe ili kuufanya kituo cha mazoezi kwa timu za taifa za wakubwa, vijana na wanawake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu Kocha kwani ana tugharimu kiasi gani? Kwa anae jua atupe majibu basi waungwana.

    ReplyDelete
  2. Mwache atugharimu tuu, cha muhimu ni azalishe matekeo mazuri na maendeleo ya soka bongo. Tuna watu kibao bongo (wabunge etc.) wanatugharimu sana bongo za hatuoni matunda ya kazi zao.

    ReplyDelete
  3. Anony wa pili nakubaliana na wewe kwa asilimia 101. Ila huyu kocha kachelewa sasa huo uwanja wa karume ndio utapanuliwa vipi?

    ReplyDelete
  4. huyu kocha anakula schedule tu hakuna utaalamu wala nini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...