jk akiwa na baba askofu thomas laizer wa dayosisi ya kkkt ya arusha na mufti wa tanzania sheikh issa shaaban simba baada ya kuhutubia baraza la iddi katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa arusha jana. utamaduni wa madhehebu mbalimbali kushirikiana katika shida na raha ni mojawapo ya sifa zinazoifanya bongo kuwa yunik

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. MMH SHEIKH SIMBA HAIVI !!!

    ReplyDelete
  2. Hii safi sana, michuzi tunaweza kupata picha yao wote pamoja. Shukran !

    ReplyDelete
  3. kwa utaratibu huu tumeona diplomasia ya Jahkaya kweli aliwiva ile miaka 10 ya wizara ya mambo ya nje. tusiponde kila kitu kwahili heko

    ReplyDelete
  4. naona heshma iliyoje naona sheikh simba na kikwete wanatembea pembeni na kumuachia askofu kapeti jekundu. msikasilike washkaji ni mtizamo tu!

    ReplyDelete
  5. Hii Dini yakiarabu imezidi haiwezi kutuongozea nchi sasa mikutano ya kidini kwenye AICC ya nini ujinga tuu

    ReplyDelete
  6. Mungu Aibariki Tanzania.Yaani wakristu na waislam tumeanza mbali sisi wote kama wabongo.Mimi ni mkristo lakini rafiki yangu mkubwa kuliko wote shuleni Mzizima Secondary school alikuwa Saidi Mkumbaru(darasa toka 1978-1981).Sasa tukianza kuiga mataifa mengine tutabloo.Mwalimu JK alifuta ubaguzi wa ukabila na dini.Mungu amuweke mahali pepa peponi.Picha hiyo juu ni ya upendo na ya kibinaadamu.Tofauti miongoni mwa watu lazima iwepo lakini isitutenganishe sisi kama binaadamu.Machozi yananilengalenga nikiona picha hizi ambazo zimekuwa chache duniani.Raisi wetu JK Kikwete ni mtu very intelligent and humble,Mungu amzidishie maisha.Akhsanteni Wabongo wote,We are all in the same boat.
    Pitah

    ReplyDelete
  7. Yafaa tuvae suruali. Tuna miguu miwili; si guu moja linalofaa kanzu.

    Ndugu Pitah, we are not in the same boat. We are in the same ocean. Kila mmmoja na yake/wake mtumbwi, mashua, ngalawa, meli, submarini, nk.

    Ya kwako ikizama, sio lazima yangu/wangu uzame/izame.

    ReplyDelete
  8. sisi wamasai tuna idea tofauti !

    ReplyDelete
  9. ITIFAK IMEZINGATIWA?!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Michuzi, Bwana Yesu asifiwe .....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...