UConn Freshman Hasheem Thabeet GrantedFull Eligibility Status by the NCAA
STORRS, Conn. (October 25, 2006)-- The University of Connecticut was notified Tuesday evening by the NCAA Membership Services staff, which has responsibility for reviewing initial eligibility matters, that freshman men's basketball student-athlete Hasheem Thabeet (Dar Es Salaam, Tanzania) has been granted full initial-eligibility status under NCAA regulations.
"I am very happy that everything has worked out and am excited to be fully eligible," said Thabeet. "I would especially like to thank Coach and the members of the athletic department who worked very hard to make this possible."
"I am very excited for Hasheem and our program," said head coach Jim Calhoun. "I am thrilled that he has an opportunity to participate in college athletics and to pursue his degree. Our compliance staff of Bill Shults, Alicia Alford and Marielle vanGelder, under the leadership of Jeff Hathaway, did a phenomenal job of working with the NCAA and I would like to publicly acknowledge their hard work and effort on Hasheem's behalf

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Almost there Hasheem..Mwaka mmoja tu wa chuo unaweza ukawa kwenye kapu la NBA kwa kuchukuliwa.
    Kila la kheri!

    ReplyDelete
  2. Kila la heri kaka soma na enjoy talent yako .Angalia tu usije chemsha ukaharibu maendeleo yako .
    All the best !!!

    ReplyDelete
  3. Ni atua moja mbele, lakini kama Mtz mwenzangu namuonya huyu mtoto ache mambo ya kujishughulisha na mashindano ya kitoto ya kujidai, maana nimesoma HI5 yake ana piga picha na nyumba kubwa za watu na kujidai ni zake magari ya bei mbaya na mshahara wake ameweka $250000. Sasa niambie sisi wote tulio huku US tunajua wachezaji wa college hawalipwi huo mshahara unatokea wapi, na kibaya zaidi ni kwamba hawa sheria za kupokea zawadoi yoyote ni kujifuta elligibility ya kucheza NCAA, so kama maoni tu kwa mtoto mdogo ni kwamba b carefull na unachofanya dogo focus kwenye kikapu na mambo mengine yatakuja yenyewe

    ReplyDelete
  4. Hongera sana hasheem,
    kumbuka kuwa ukiweka bidii utajinyayua wewe mwenyewe na taifa lako pia.
    lengo iwe ni pale NBA bwana, ofcouse usisahau shule.
    Mimi binafsi nafikiri na wabongo wanaoelewa maswala ya NBA wanajua jinsi hii ilivyokuwa BIG DEAL!! tunasubiri kukuangalia ukifanya vitu vyako kwenye hayo mashindano ya vyuo (NCAA)

    ReplyDelete
  5. Inaelekea Hasheem atafanikiwa kuingia NBA. Hongera zake naomba afanye vizuri, na pesa atakazopata azifanyie jambo la maana na kuweka akiba ya uzeeni. Pia natumaini kuwa Hasheem atasoma kwa bidii apate digrii. Awe na kitu mkononi kama mambo ya NBA hayataenda vizuri. Tatizo ya NBA ukiumia unatupwa kama nepi chafu. Kuna vijana waliokuwa NBA waliumia na kushindwa kucheza. Bahati mbaya hawakumaliza digrii zao na sasa kazi yao ni doorman, mesenja, store clerk. BE SMART!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...