kinadada bongo wako bega-kwa-bega na kinakaka katika kukusanya habari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. HMMMMM DADA YANGU UNGEKUWA UINGEREZA HIYO IJABU UNGEAMBIWA UVULIWE.NAKUPA PONGEZI SANA DADA YANGU UNACHAPA KAZI NA KUFUNIKA KITU HAKITAKIWA KUONEKANA MBELE YA WATU LAKINI ISIJE IKAWA NGUVU YA SODA TUU KWANI MFUNGO UKIISHA UNALITUPA PEMBENI UKAENDA NA WAKATI.tHANKX KEEP IT UP

    ReplyDelete
  2. Marekani kina dada ndio wako mbele katika hizi kazi. Kimefika kipindi ambacho hakuna kazi ya akina dada wala akina kaka.

    ReplyDelete
  3. Michuzi hebu cheki :-
    http://www.uconnhuskies.com/sports/MBasketball/2007/Bios/Thabeet.html

    ReplyDelete
  4. Hongera dada kwa uwongo wa kujifanya joto la Dar es salaam hulisikii ukiwa ndani ya hilo hijabu zito jeusi.Kuna amri ya Mungu inasema usijiue.Kitendo cha kulivaa hijabu hilo kwenye joto kali la Bongo ni kujiua mwenyewe kwa joto.Hongera kwa kujilipua kwa joto kama wapalestina ili uwahi ahera.

    ReplyDelete
  5. Michuzi hebu mcheki mbwa ndogo hasheem..
    http://www.uconnhuskies.com/AllStories/MBasketball/2006/10/25/20061025b.html

    ReplyDelete
  6. kazi nzuri wapendwa!

    ReplyDelete
  7. Mwenyezi Mungu akujaalie dada wa watu, akupe nguvu ya kuendelea kufunika kichwa, akuepushe na vishawishi vya hapa na pale.

    ReplyDelete
  8. Michuzi lile swala la uraia wa nchi mbili Tanzania limeishia wapi? sasa hivi mbona kimya kitupu? au ndio jamaa wanaona tutafaidi sana nini?

    ReplyDelete
  9. Dada weka contacts zako, nataka nikuchumbie, sababu kwanza hautakua golikipa alaf unajiheshimu na uko mzuri sana,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...