Home
Unlabelled
harusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mh! Mimi hizi ndoa za kutumia mahela makubwamakubwa kukodi vitu vizito kama hivi! Hata sizifagilii, basi tu ndo hivyo kila mtu na pesa zake!
ReplyDeleteUnataka kutwambia kuwa hizo staili za kuoa kwa namna hiyo, kama hatutazifuata tutafanya dhambi?
ReplyDeleteUnyamwezi ni Unyamwezini tu!!
ReplyDeleteHiyo rimozini ina ingini ya BiTo!!!
Ah wapi na wapi!!!
Tunajaribu lakini.......
lol Spoilrat unanyonga jibaba. Mambo ya bongo mswano mwanangu. Hivi ukishusha kama Chrisler 300C sita bongo hiyo si biashara nzuri kabisa hiyo au?
ReplyDeleteSasa unaposema limo ina engine ya Bito, kwani hizo limo zinatengenezwa Tz?? Limo moja hapo ilikuwa inatumika USA, acha kasumba mtoto. Bongo tunapiga stepu polepole
ReplyDeleteHiyo Limo ya Benz naizimiaa, Naomba Contact jinsi ya kuzipata, kwa sababu narudi Bongo kuoa muda si mrefu. Mtu yeyote mwenye simu au e-mail adress ya hao jamaa.
ReplyDeleteKanunue lako acha mambo ya kupaigaishana we mwenyewe unakaa mashenzini hilo limo litapigwa mawe na wadogo zako walivyo vichaa babu eeehhhhhhhhhh
ReplyDeleteTuache kasumba za west... utatumia mahela kibao halafu ndoa zenyewe wala hazinadumu...
ReplyDeleteA WEDDING IT IS A BIG DAY!!!PEOPLE INVOLVED HAS RIGHT TO WHAT THE WISH!! IT SHOULD ONCE IN YOUR LIFETIME
ReplyDeletejamani anony hapo juu basi kama unatumia kiingereza angalia siyo unatuchanganyia vitu, makande, mananasi, ndizi na mchicha vyote twende!!! yani sentensi zako zote mbovu, hata moja uliyopatia loh!
ReplyDeleteKISWAHILI KIDUMU JAMANI!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletejamani mwenye limo mmojawapo ni iddi janguo wengi mnampata saaaana.
ReplyDeleteHIVI LIMUZINI MOJA WAPO HAPA NI LA -IDI JANGUO- NAOMBA JIBU.
ReplyDeleteKAMA NDIVYO NAOMBA KUTOA TAHADHARI KUWA NI BOMU HILO HALIKAWII KUZIMIKA PUFFF KATI KATI YA BARABARA HATA LIKIWA NA MAHARUSI NDANI.
NA NI LAANA HII KAPATA HUYU TAPELI KWASABABU ALINUNUA HILI LIMUZINI KWA PESA ZA WIZI NA KUCHANGANYA NA MKOPO AMBAO ALIUKIMBIA HAPA MAREKANI. BOMU, BOMU, NAKWAMBIENI.
JANGUO IS A CONMAN, WHO DOES'NT KNOW THAT??
ReplyDelete