wadau mlioko ughaibuni msikonde wala nini. ukija kuoa/kuolewa huku mambo haya yapo pia kama huko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Mh! Mimi hizi ndoa za kutumia mahela makubwamakubwa kukodi vitu vizito kama hivi! Hata sizifagilii, basi tu ndo hivyo kila mtu na pesa zake!

    ReplyDelete
  2. Unataka kutwambia kuwa hizo staili za kuoa kwa namna hiyo, kama hatutazifuata tutafanya dhambi?

    ReplyDelete
  3. Unyamwezi ni Unyamwezini tu!!
    Hiyo rimozini ina ingini ya BiTo!!!
    Ah wapi na wapi!!!
    Tunajaribu lakini.......

    ReplyDelete
  4. lol Spoilrat unanyonga jibaba. Mambo ya bongo mswano mwanangu. Hivi ukishusha kama Chrisler 300C sita bongo hiyo si biashara nzuri kabisa hiyo au?

    ReplyDelete
  5. Sasa unaposema limo ina engine ya Bito, kwani hizo limo zinatengenezwa Tz?? Limo moja hapo ilikuwa inatumika USA, acha kasumba mtoto. Bongo tunapiga stepu polepole

    ReplyDelete
  6. Hiyo Limo ya Benz naizimiaa, Naomba Contact jinsi ya kuzipata, kwa sababu narudi Bongo kuoa muda si mrefu. Mtu yeyote mwenye simu au e-mail adress ya hao jamaa.

    ReplyDelete
  7. Kanunue lako acha mambo ya kupaigaishana we mwenyewe unakaa mashenzini hilo limo litapigwa mawe na wadogo zako walivyo vichaa babu eeehhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  8. Tuache kasumba za west... utatumia mahela kibao halafu ndoa zenyewe wala hazinadumu...

    ReplyDelete
  9. A WEDDING IT IS A BIG DAY!!!PEOPLE INVOLVED HAS RIGHT TO WHAT THE WISH!! IT SHOULD ONCE IN YOUR LIFETIME

    ReplyDelete
  10. jamani anony hapo juu basi kama unatumia kiingereza angalia siyo unatuchanganyia vitu, makande, mananasi, ndizi na mchicha vyote twende!!! yani sentensi zako zote mbovu, hata moja uliyopatia loh!

    ReplyDelete
  11. KISWAHILI KIDUMU JAMANI!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. jamani mwenye limo mmojawapo ni iddi janguo wengi mnampata saaaana.

    ReplyDelete
  13. HIVI LIMUZINI MOJA WAPO HAPA NI LA -IDI JANGUO- NAOMBA JIBU.
    KAMA NDIVYO NAOMBA KUTOA TAHADHARI KUWA NI BOMU HILO HALIKAWII KUZIMIKA PUFFF KATI KATI YA BARABARA HATA LIKIWA NA MAHARUSI NDANI.
    NA NI LAANA HII KAPATA HUYU TAPELI KWASABABU ALINUNUA HILI LIMUZINI KWA PESA ZA WIZI NA KUCHANGANYA NA MKOPO AMBAO ALIUKIMBIA HAPA MAREKANI. BOMU, BOMU, NAKWAMBIENI.

    ReplyDelete
  14. JANGUO IS A CONMAN, WHO DOES'NT KNOW THAT??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...