Home
Unlabelled
hasheem
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI KWANI ZANAKI INA WANAUME?
ReplyDeleteAU WALIKUWA ANAFANYA MAZOEZI ZANAKI?
duh michuzi kwani hauna picha zake mpya? watu tunataka kujua yuko wapi na amebadilika kiasi gani! kila siku tunaiona picha hiyo hiyo tu! duh! nasikia anapiga game kibao tu kwa nini usimuombe picha zake ulipokutana naye?
ReplyDeleteMtoto kule nyuma, very cute. Labda ni mdogo wake mtu, safi kuwashirikisha wadogo zetu kwenye michezo. Kwenye soka mie niliishia kuokota mpira mpaka nilipokuwa mkubwa kidogo!!!!!
ReplyDeleteKaza uzi kijana!! mvumilivu hula mbivu!! nakutakia kila la kheri katika safari yako ya kuelekea kwenye mafanikio.
ReplyDelete