mwanabasketiboli wa kimataifa hasheen thabeet katoka mbali. hapa akila tizi na timu ya vijana shule ya zanaki, dar. uzuri ni kwamba pamoja na kuwa mrefu futi 7 na inchi 3, afya yake ni ya kijana wa kawaida mwenye umri wake wa miaka 19, na mwepesi katika kukimbia na kuruka na hata kudanki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MICHUZI KWANI ZANAKI INA WANAUME?
    AU WALIKUWA ANAFANYA MAZOEZI ZANAKI?

    ReplyDelete
  2. duh michuzi kwani hauna picha zake mpya? watu tunataka kujua yuko wapi na amebadilika kiasi gani! kila siku tunaiona picha hiyo hiyo tu! duh! nasikia anapiga game kibao tu kwa nini usimuombe picha zake ulipokutana naye?

    ReplyDelete
  3. Mtoto kule nyuma, very cute. Labda ni mdogo wake mtu, safi kuwashirikisha wadogo zetu kwenye michezo. Kwenye soka mie niliishia kuokota mpira mpaka nilipokuwa mkubwa kidogo!!!!!

    ReplyDelete
  4. Kaza uzi kijana!! mvumilivu hula mbivu!! nakutakia kila la kheri katika safari yako ya kuelekea kwenye mafanikio.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...