mh. amina chifupa akimkaribisha naibu meya wa jiji la dar mh. yakub kwenye futari aliyoandaa ijumaa hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Mashallah.Amina ungekuwa unavaa hivi kila siku ingekuwa jambo jema sana lakini najua unasubiri mfungo uishe tu urudi kwenye vichupi vyako.

    ReplyDelete
  2. chifupa amependeza sana kwenye hili vazi.

    ReplyDelete
  3. Mashaalah mola akupe moyo zaidi wa kufanya mambo mema na ya kheri kama haya.

    ReplyDelete
  4. hivi nani anampiga boro huyu chifupa? wabunge wote mnamwangalia mtoto katulia hampigi boro?Ngoja nimerudi toka majuu niwaonyeshe kazi na hivi nina degree sijui tatu, na nina pamba za uhakika mtashangaa,lazima niondoke naye

    ReplyDelete
  5. Basi huyo Mh Yakub ni 'photocopy' ya Abdallah Majula..

    ReplyDelete
  6. hivi huyu mheshimiwa yeye ndo anahela kuliko wabunge wengi au ni mke mdogo wa sultani wa kimanga maana leo katoa hiki kesho kile inaonekana ana mshiko mbuzi maana sijasikia habari za akina zungu wala dewji

    ReplyDelete
  7. Mambo ya Jack Pemba hayo .... for the record Amina havai Vichupi anavaanguo za heshima muda wote

    ReplyDelete
  8. jamani kama ni kujitolea amina ni kiboko.manake kwenye mpira yeye,uislamu yeye,yatima yeye,muzikiyeye,jamani sijawahi kuona mheshimiwa anayejitolea hivi .kwkweli kama hizo hela ni zake na sio za madawa ya kulevya anayouza mumewe basi hongera zake.manake kwa kweli amina amefunuika jamani panga pangua katika wabunge wooote huyu ameamua.kweli wenye viti vyao vya ubunge wakae chonjo manake anataka awe mbunge wa jimbo na kweli atambwaga mtu kwa minajili hiii.na amina anajua vizuri kutumia vyombo vya habari na pia ana nyota kali sasa upende usipende amina anafunikaaa haswa.mpakanjia hasikiki tena kabisa yaani kamfunika ili watu wasimuongelee kama yeye ni jambazi na muuza unga.amina mjanjaaaaaa jamani ohooo

    ReplyDelete
  9. Anasema baada ya miaka 20 anataka kuwa Raisi wa Tanzania.labda Inawezekana endapo mumewe atakuwa hajashikwa kwa madawa ya kulevya na kama yeye atakuwa hajafa kwa ukimwi alionao sasa hivi.Tusubiri tuone.

    ReplyDelete
  10. BWANA SIO MCHEZO NAOMBA KUMSAPOTI ANONY HAPO JUU, AMINA SIO MCHEZO, PANGA PANGUA WAKAE CHONJO TU WABUNGE WENGINI ATABWAGWA MTU MINAJILI HII. TENA HASA WA KWANZA NI WALE AMBAO KICHWANI MAJI MATUPU WALIBAHATIKA NA NGEKEWA TU KUPATA UBUNGE KAMA JANET KAHAMA, MAMA HUYU BUNGENI ANAONGEA PUMBA TU, MIEZI MICHACHE ILIYOPITA MPAKA SPIKA ALITOA "ODER, ORDER SIT DOWN PLEASE" ILIKUWA NOMA KWELI, SI MLISIKIA? KILA MTU ALIIONGELEA HII HAPA MJINI. KWAHIYO MIMI NAONA AKAE CHONJO. AMINA CHIFUPAAAA CHINJA......AMINA CHIFUPAAAA......CHINJA. ADIMSELEMA ADIJA. ANAKUJA MBIO HUYO. KAA CHONJO. ITABIDI TU UENDELEE NA POMBE KUMSUPPORT MWANAO ANNA.

    ReplyDelete
  11. Aaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe mme wa Amina ni muuza madawa!!!!!!!!!!!!

    ndo maana Amina alisema atamsaidia JK kutaja wauza unga. Mme anaisha naye nyumba Okay now I know. hata kama angeshindwa kutaja wengine ange mtaja mmewe.

    Amina anaonekana kila sehemu- Sijui kama hatoi penzi kwa kila waziri anayetaka ili mambo yaende vizuri.

    ReplyDelete
  12. huyo amina kama ni kujitolea ajitolee vitu vya maendeleo endelevu. Pili kama ni kutoa kwa yatima asitoe "samaki" awafundishe jinsi ya kuvua. maana ukitoa samaki akiliwa kesho inabidi utoe mwingine, lakini ukifundisha watu kuvua basi watavua wenyewe samaki na hawatakuwa tegemezi. tatizo la Amina ni kuwa utoaji wake si wa dhati, yeye kaishajua kuwa watanzania kura zinanunuliwa na unachotakiwa kupata kura ni jina lako kutokea mara nyingi katika radio na televisheni na magazeti. Hivyo anaonekana sana na si ajabu kwa kuwa anatoa mishiko kwa waandishi. Si unajua waandishi wetu wa bongo? toa kitu kidogo basi utapambwa kwenye kila gazeti na sisi wapiga kura kwa ujinga wetu tutakuchagua. Tumeweka mno mbele kula samaki badala ya kijifunza kuvua samaki. maana yake hatujiulizi kazi ya mbunge ni nini. mbunge anatakiwa achambue sera, sheria na mipango ya serikali ili kuhakikisha kuwa sera, sheria na mipango ya serikali inalenga kwenye kuleta maendeleo enelevu ya wananchi. Sisi tunapowachagua hatuangalii uwezo huo bali ni jinsi gani tumbo langu litanufaika, na ndio maana wakati tuna miaka 45 ya uhuru bado tunachagua viongozi wasioweza kupelekesha maendeleo ya nchi, maana bado tupo katika lile kundi la nchi masikini duniani, wakati nchi yetu ina rasilimali nyingi za kutosha. Hii inatokana na kuangalia "tumbo street" na jinsi mtu utakavyoshiba. na matokeo yetu basi tumekuwa tunapewa hizo rushwa za futari, khanga, sabuni nk. na tutabaki hivyo hivyo tulilalama katika blog ya michuzi na nyinginezo. tunachotakiwa kubadilika ni sisi. tuchague viongozi wenye uchungu wa maendeleo ya nchi si ya kwao binafsi.

    Hao wenye kusema kuwa mume wa amina ni muuza madawa, ni vyema taarifa kama hizi wazipeleke vyombo vya usalama. na pia vyombo vya usalama kunapokuwa na hisia za namna hii ni bora zichunguzwe. kwa mfano yeye amina anapotoa misaada kiasi hicho je watu wa TRA wameangalia hicho kipato kinatokea wapi? kama ni kipato halali je kinalipiwa kodi? kama ni michango nadhani maadili ya uongozi yanataka taarifa hizo zitolewe kwa vyombo husika. hii itaweza kuonesha kuwa fedha hizi ni halali. tusije tukajikuta viongozi wetu wanatumika kuhalalisha pesa zilizopatikana katika njia isiyo ya halali.
    ningependa kusema kuwa UKIMWI si ugonjwa wa kumtakia mtu, hivyo usipende kusema mtu fulani kuwa ana ukimwi. wewe unasema mwenzio ana ukimwi wewe umeishajipima? na pia kuwa na ukimwi si mwisho wa matumaini, je hujasikia kuishi na matumaini? na kuna watu wenye virus ambao wameishi kwa miaka mingi. tuache kunyanyapaa watu wenye virusi.

    ReplyDelete
  13. Nadhani, ni vizuri Watanzania tukaongelea mambo ya msingi zaidi kuliko kuongea personal issues, kwanini Amina Kuwa mbunge imekuwa issue?, Dada wa watu amekuwa kila wakati anasakamwa, mbona kuna wabunge wengi sana na viongozi wengi sana ambao sio ma brite na wanalala tuu bungeni?, kwanini hao hawasemwi?, jamani, tuongelee mambo ya maendeleo na sio personal issues, tutaendelea kuwa na majungu mapaka lini?, huu umaskini wa fikra ni mbaya sana. Amina anajitolea sana, na anasaida jamii, kama ubunge tayari keshapata, kwa hiyo hafanyi hivyo kwa sifa, ni kwa mapenzi yake mwenyewe toka rohoni, na wala msi anze kuhoji anatoa pesa watu, fanyeni kazi, acheni majungu, huo muda wa kufuatilia maisha ya watu mngeweza mkafanya mambo ya maendeleo.

    Amina, uskatishwe tamaa na watu wenye majungu na wivu. Endelea na moyo ulionao. Na wala wasikutishe. We will support you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...