wah. kibao walialikwa kufuturu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Demoted Deputy Minister Dr Lawrance Masha.....
    RICHMOND DEVOLPMENT COMPANY....
    Maskini Dr Masha tulikutegemea sana sisi vijana tukitegemea utawapa changamoto senior ministers, lakini umetuangusha sana.Mheshimiwa Rais bado ana imani na wewe pengine ulidanganywa ukaingia mkenge na hawa WAHINDI wasanii wa Richmond Development Company.Bado una nafasi ya kulisafisha jina lako, ni kosa la kwanza kama waziri.

    ReplyDelete
  2. sheikh michuzi futari ilikuwa bomba sana, tulikupunja manake ulikuwa busy sana na pocket cyber spot shoot yako.

    ReplyDelete
  3. Hizo soxi zilikuwa hazinuki kweli?

    ReplyDelete
  4. FAULO!!!!
    MGUU KWENYE GAZETI...!
    Abdallah Majula naye kwa chaati kulia kule..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...