NAWATAKIA IDD EL FITR WADAU WOTE MLIO NAMI MUDA WOTE HUU. HONGERA KWA WALIOFUNGA, MUNGU ATAZISIKIA DUA ZENU. NAWATAKA MSHEREHEKEE SIKUKUU HII KWA UPENDO NA AMANI, NA WALA TUSITUMIE KWISHA KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KAMA NDIO MWANZO WA MAASI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Mohamed A. Gire EMAIL
    Mr. Gire is a prominent businessman and an active private investor in emerging high-tech companies and offshore real estate and Infrastructure sectors.
    Mr. Gire brings a unique blend of talent and over 20 years of business acumen into growing strategic companies.
    Mr. Gire serves on numerous boards and commissions including a Houston's Mayoral Advisory Board for International Affairs and Development.
    Energy/Refinary companies that are interested in forming business alliance with us, are welcomed.

    Mohammed S. Huque, Ph. D EMAIL
    Dr. Huque has over 25 years experience in the energy/infrastructure sector. For the last seven years he has been a successful developer of infrastructure projects totaling $U.S. $500 million.
    He is a specialist in project financing and has worked extensively with multi-lateral financing agencies (World Bank Group, Asian Development Bank) and export credit agencies.
    Dr. Huque has served as senior executive with multi nationals such as Westinghouse Electric Corporation and Marathon Oil/Duquesne Light, to name a few. He has lived and worked in Europe, Middle East, Asia and Japan.
    Dr. Huque earned a Ph. D in economics from the University of Manchester, United Kingdom and is a past fellow of the the Leadership Institute, Duquesne University, Pittsburgh, Pennsylvania.

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!!
    Kwa nini Michuzi usiandike
    idielifitiri? Au sababu ni kiarabu?
    Ni halali sio! Na kiwestern poa kukikanyaga, sababu ni haramu sio?

    ReplyDelete
  3. Michuzi nashukuru sana kwa salamu zako za Eid el Fitr.Kwa mikono miwili nasema asante.

    ReplyDelete
  4. Michuzi nashukuru sana kwa salamu zako za Eid el Fitr.Kwa mikono miwili nasema asante.

    ReplyDelete
  5. Tunashukuru sana kwa salamu zako za idd, jamani tujihadharina na ulevi pamoja na anasa zote wakati wa idd kwani uliyoyatengeneza kwa mwezi mzima unayazika kwa siku moja tu

    ReplyDelete
  6. Muheshimiwa Michuzi-
    Idd njema. Nakumbuka nyumbani ule wimbo wa taarabu(?) Mpenzi wangu ninakupa mkono wa idd.

    ReplyDelete
  7. idd njema michuzi, naona baraka mpaka umepata mradi hapo juu! siku kuu njema na mungu akubariki.

    ReplyDelete
  8. Mungu mzidishiye neema na fanaka mwanzilishi wa mtandao huu, Bwana issa Michuzi. Mwezi mtukufu umetoweka na hatuna ilimu ya kujua lini tutauona mwezimwingine kama huu. Kama vile Mola anavyo sema ndani ya quran karim kuwa anae tenda mema hulipua huzidishiwa ajira mara kumi kama alivyo tenda, na anae tenda mabaya hulipua mfano wake(amesema kweli mola mtukufu). hayo ni machache kuwakumbusha walio shikamana na ibada mwezi mtukufu kuwa mema yote waliotenda basi mola aliwapa ajira zilizokubwa. Kama unalo swala kuhusu Islamic religion, tafadhali uliza kupitia web hii. Asanteni wasomaji
    Maftah, New York

    ReplyDelete
  9. Idd Njema...lakini ungevaa ka-kibandiko kichwani, ka-kanzu, na ka-koti ili usionekane ikongurwasi!

    ReplyDelete
  10. UBARIKIWE MWANANGU MICHUZI, NA ASANTE KWA NASAA ZAKO, MANAKE NI KWELI KABISA WENGINE WALIPOA KWAKUWA NI MWEZI WA RAMADHANI, NA KUFUNGA NA KUSALI. LAKINI PUNDE MWEZI UKISHAISHA HUU NDIO WANAFUNGULIA MAASI. ASANTE BABA KWANI SIKU ZOTE HUPENDELEI WEWE HUWA UNAMWAGA UKWELI TU. UBARIKIWE MWANANGU. HERI YA EID KWAKO WEWE PIA NA FAMILIA YAKO. ASANTE.

    ReplyDelete
  11. tunashukuru sana kwa salamu zako za Idd ustaadhi michuzi, tunakutakia heri na fanaka siku za usoni na mwenyezi mungu subhana wa taala akuangazie nuru ya uso wake.tumekukosa sana leo kwa habari zinazoongea kwa mfumo wa picha,inshaallah tunaamini mtume S. A. W atakupa nguvu uongezee juhudi.wabillah tawfiq!

    ReplyDelete
  12. Idd Njema...lakini ungevaa ki-bandiko, kanzu, na koti kidogo usionekane inkongrwasi!

    ReplyDelete
  13. mambo sio haya bwana..sasa blog inafunguka fast kama kawaida.Ahsante kwa kututolea zile ngwangwa upande wa kulia.

    ReplyDelete
  14. asante michuzi lakini kumbe kweli kizungu hakirichi lakini kiarabu kinarichi mzee.

    ReplyDelete
  15. Huu ni ufinyu!
    Kwa sisi wote waikristo na waislamu!
    Hivyo vitu kwa wenyewe wenye navyo ni culture sio dini sana sana, kama mambo mengine ya kanisa vile!
    Lakini sisi tuona ndio Mungu kasema eti na kuyavalia njuga!
    Umasikini ni kitu kibaya kweli!
    Africa ukiambiwa Jerusalem, Nazaret, Makka,n.k utafikiri ndio peponi hapa hapa duniani! Kumbe upuuzi mtupu! Kila siku tunaenda kuuza unga huko na kununua malaya na kunywa pombe. Lakini angalia walivyotumanipulate!
    Just believe in God! Don't do what Jesus or Muhhamad says is like now a days politics in that time.
    Kingunge supporter.

    ReplyDelete
  16. We kingunge supporter, hata kama wametumanipulate, kibaya kinachohusiana na dini ni kipi hapa walichofanya waliotakiani kheri kipindi hiki? Au dini yenu na Kingunge haina kutakiana amani, upendo na furaha? sasa naelewa kwa nini umepayuka hivyo, ni kwa sababu unaamini katika chuki, roho mbaya, kuhariu jamii n.k ndio maana donge limekukaba ulipoona watu wanatakiana kheri.

    ReplyDelete
  17. Michuzi tulikuwa tunaomba "update" za ile mitambo(turbine) za kuzalisha umeme zilizoingia Bongo karibuni..Nasikia eti tetesi kuwa ni mitumba...Mitambo ya gabachori Modi ges...
    Toka South Calorina..

    ReplyDelete
  18. KUmbe inaruhusiwa kutafuta kazi kwenye hii blog?? Naona watu wanarusha makabrsha yao humu ndani (akina mohamed hapo juu)...mmmhhh

    ReplyDelete
  19. OOPS! Jezi la Carlsberg bia ulilovaa kwenye picha yako nyingine haliendi na sikuu ya Idd el Fitr! Jezi si jezi, linatoa "statement".

    ReplyDelete
  20. MKONO MKUBWA SANA NA KWAKO KWA KUSHEREHEKEA SIKUKUU HII. EID MUBARAK.

    ReplyDelete
  21. KWAKWELI JEZI LA CARLSBERG MICHUZI HALIENDANI NA VAZI LA EID.UMETUANGUSHA HAPO YAKHEE.
    SASA ZIMEOMBWA SANA HAPA PICHA ZA WATU MAHUSUSI MBONA HUTOI BWANA, AU KWELI PETER ANAKUKATIA POCHI LA UHAKIKA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...