Home
Unlabelled
taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Je nami nipo? Nilikuwa Kipa hodari enzi hizo!
ReplyDeleteDilunga, je?
ReplyDeleteKibadeni, je?
ReplyDeleteSunday Manara, yule "komputa", je?
ReplyDeleteMichuzi naomba uwe makini na miaka unayoandika.Hii timu sio ya mwaka 1974 hii ni timu ya miaka ya 1960.
ReplyDeleteKatika picha hiyo namuona Marehemu Kanali Aziz ambaye mwaka 74 alishastaafu kucheza mpira.
Michuzi kaishiwaaaa, huna jipya na wala huna la maana tena huku kwenye nlog yako ndio maana unaangaika kuweka picha ili watu watukane coz atleast inafanya watu warudi kuangalia huku, muda umeupata lakini naona maendeleo hakuna na mimi hii ndio mara yangu ya mwisho kuingia huku coz hakuna la maana ninalolikuta.
ReplyDeleteKwa wabongo wenzangu tunaopenda kuangalia mambo mapya kila siku ingieni kwenye website zenye maendeleo kama, tanzatl.com, bongoradio.com na huko mtakuta mapicha ya maana na hata ku-upload picha zenu kama mnataka achananeni na huyu masikini wa akili Michuzi
Muhidin,
ReplyDeleteKitendawili hiki kukitegua hata ukinipa mji kimeniwia vigumu. Sasa ngoja nikipeleke kwa wanasoka wa zamani kina Bakari Wagadugu au Mzee Miraji Mataruma wanisaidie kupata jibu.
F MtiMkubwa Tungaraza.
PS/ Halahala Novemba mosi mbaya zitaanza kuanguka toka juu ya MtiMkubwa.
Michuzi nasikia owner wa Oxford city football club na stadium ya Kassam ni mbongo !
ReplyDeleteNaomba wadau wako wanaoweza kutupigia picha watuwekee kwenye blog yetu tukufu ?
Labda siku moja ataona aibu aisaidie soka ya bongo ama amnunue angalau Njohole !
f mtimkubwa nimekuapata. nitafanya hivyo. tafadhali wewe na wengine msikose kutembelea tanzatl.com na bongoradio.com, kuangalia mambo mapya ya kila siku
ReplyDeleteWe anony wa 4:45 inaonyesha unamatatizo kichwani mwaka. Ukitaka kuacha kuingia huku ya nini kuutangazia umma? Hebu tukumbushe post yako uliyoutangazia umma kuwa unaanza kutembelea blog hii? Acha hizo kama unaona tanzatl na bongoradio yako havitembelewi sasa unaamua kuvipigia debe? Wahenga walisema "Kizuri cha jiuza kibaya ..." Acha kutuchefua na coz, coz, coz, nyingiiiiiiiii utafikiri ndo umelifahamu leo hilo neno>
ReplyDeletenyie wenye akili finyu endeleeni kupigiana mama na mwana ya kujibu maswali ya kijinga ya timu za mipira, na kuangalia watu wakila daku kila siku, na matusi yasio na sensor, wenye akili timamu tutaangalia yanayovuma pengine
ReplyDeleteby the way ni atl.org sio com, lakini mi sioni ubaya wa aliyokisema ndugu yangu hapo juu, cha maana ni kwa michuzi kujua kwamba anaanza kuwa boa watu na picha unazoweka na kama unataka maendeleo utasikiliza maoni ya watu
ReplyDeletemhhhh, michuzi kaka hii ya leo kali, tumeangalia hii picha ninakumbuka kikosi cha 74 walikuwamo kina Leodgar Tenga, Chuma, Kibaden, Zaharan, Marehemu Sembuli,Kompyuta,Ngulungu, Mambosasa,Abdulrahman Juma, Wakiwa ni baadhi tu, na sio siri kwenye hii picha yako HAWAMO! sana sana namuona mtu mmoja tu ambaye namfahamu HEMEDI SEIF, tena yaaanki, ambaye nina uhakika 74 alikuwa keshastaafu zamaani, vipi blaza??!!
ReplyDeleteMichuzi mwenyewe alikuwa hajazaliwa bado. Hii ni mwaka 1958 wakati huo kombe la challenge likianzishwa nalilikuwa likijulikana kama Gossage Cup. Mwaka huo Tanganyika ililitwaa kwa mara ya kwanza (na ya mwisho adi ilipokuja kufanya hivyo tena 1974)
ReplyDeleteHizi ni enzi za akina Yunge, Jabali na wenzake wa Sunlight Cup ya Tanganyika na Gossage ya Afrika Mashariki!
ReplyDeleteMpaka Haji Lesso yumo! Hiyo ni mwaka 47
ReplyDelete