malikia wa twanga pepeta lwiza na jeska pia walikuwapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. halafu kesho msikie wanamuimba amina chifupa kwa ajili ya futari.haya ufinyu wa akili na busara ndio maana hatuna umeme na bado tunasifia hari mpya!mungu saidia mitu hii na tanzania inatokomea mbele ya macho ya wazalendo.michuzi kama wewe ni mpenda haki usifute hii

    ReplyDelete
  2. Anony wa october 21, 2006, 4:04:53AM ukiambiwa tuna kazi ngumu ni ngumu kweli kweli tuna safari ndefu sana kuelekea katika maendeleo halisi. Unaambiwa hata nchi zinazotoa misaada hawaamini kabisa, nchi za jirani hawaamini kinachoonekana tanzania. Katika miaka yetu yote ya uhuru tumekuwa tu na vita ya uganda. Nchi kibao zimekuwa na matatizo mengi sana lakini zinatoka nyuma zinatupita kama vile tumesimama. Kuna siku moja nilisoma kwenye magazeti ya nchi mojawapo ya Africa juzi juzi tu wanafunzi wa university wamegoma na kufanya fujo, kisa umeme umekatika, ktk kujibu suala hilo wakaambiwa sasa mbona mnagoma wakati hamujasikia watanzania wakilalamika wakati hawana kabisa umeme?

    Ukiangalia kuanzia hata vitu vidogo kama michezo tumebakia kuimba tu, nafikiri ukichora graph ya maendeleo katika nchi kama tanzania wakati watu wanatoka ujima wanaelekea sayansi na technologia, sisi tunatoka kati tunaelekea ujima.

    Matatizo yaliyokuwa solved duniani miaka lukuki na sasa wanafanya optimazation sisi bado ndiyo yanatusumbua. Inatakiwa sijui niseme nini, ukiangalia wakati nchi hata uganda pamoja na vita kibao zimefikia wakati ndizo watanzania wankimbilia kupata elimu. Inasikitisha, inasikitisha sana sijui niseme tumelaaniwa. inakadiliwa kwa sasa zaidi ya watanzania 1500 wako vyuo vya juu nchini uganda.

    ReplyDelete
  3. Anonys hapo juu, asante sana wa ndugu kwa michango yenu. Kipaumbele, kipaumbele, kipaumbele ndio hakuna kwa Watanzania. Hii futari sasa imeshakuwa fasheni ati. Halafu wanasifiana eti umoja na upendo wakati walioalikana ni walewale wanaokutana siku zote. Kwanini msikusanye hao wanaofanya mihadhara ya kidini ndio mkawaweka pamoja wakaondoa tofauti zao?
    Lakini pia hivi viini macho ndio vinazidi kuwapofua Watanzania, hapo Amina ataendelea kuwa mbunge wa maisha wakati hakuna anachofanya kulisaidia taifa kuondokana na matatizo kama umeme.

    ReplyDelete
  4. MH! MADADA HAWA MKOLOGO UMEKOLEA, SIJUI KWANINI DADA ZETU WENGI SIKU HIZI WANAPENDA KUJICHUBUA HATA WEUPE BADO TU WANATAKA KUONGEZEA NA MKOROGO ILI WAZIDI KUWA KAMA WAZUNGU, PENDENI RANGI MLIZOZALIWA NAZO JAMANI AAH! MNAPENDA TU WAZUNGU KAMA KINA KAHAMA'S. HAYA. MAMBO YA KUJICHUBUA HAYA MTAJIPATIA SARAKANI BURE KWA KUJITAKIA NA UREMBO WA KUNUNUA. MIE NAPENDA MREMBO NATURAL. SIO FAKE.

    ReplyDelete
  5. Kweli wanawake wa kiafrika hasa wabongo wanapenda sana kujichubua sijui kwanini, hawajui black is beauty? na hii michanganyiko ya mkorogo kujichubua madawa mengi yanachanganywa hata bleach, jamani mtajisababisha kupata SARATANI bure kina dada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...