Home
Unlabelled
bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nadhani ni pale red cross au sio michuzi?
ReplyDeleteDuuu Holaaaaa mwanangu!
ReplyDeleteHapa ni somewhere Kinondoni na utakuwa umepiga hii picha kutoka ndani ya Millenium Hotel, nilikaa pale nikiwa likizoni, nina imani nimepatia.
ReplyDeleteHapo ni commonwelth war cemetery makaburi ya vita vya dunia nyuma ya millenium hotel si mbali na kijiji cha makumbusho, pembeni pia kuna makaburi ya wajerumani ya enzi za mjerumani pamoja na makaburi mengine nafikiri ni ya mojawapo ya mathehebu ya wahindi.
ReplyDeleteJoel.
Hivi wakati wa kupora viwanja vya wazi ovyo katika awamu ya pili na ya tatu, ilikuwaje haya makaburi yakaachwa? Maana watu walikuwa na tamaa wala hawajali iwapo ni makaburi, uwanja wa michezo wala nini. Walipora tu na kuangusha mahekalu!
ReplyDeletebahati mbaya nimegongwa na gari ughaibuni..kama mkiweza kunichangia changia mkaniweka kwenye jeneza zuri basi naomba nizikw hapa pia..sio mnaacha sehemu nzuri hapa ughaibuni..mnachanga hela nyingi kunisafirisha kisha mnanipeleka kinondoni..mara mia mgekuwa mnachanga hela kunipeleka kwenu machame..lol
ReplyDeleteJoel umepatia. Wewe kweli Dar unaijua. Hapo ni pale kijitonyama(makumbusho)kwenye makaburi ya vita ya dunia, mbele kidogo ni crematorium ya Hindu. Picha inanikumbusha Dar. Ilikuwa njia yangu kwenda shule, na kibaruani pia. Lakini sio site nzuri kwa hotel. Kwani ni nani ambaye anataka kuwa hotelini aki enjoy, alafu akifungua dirisha anaona makaburi. Hao walio plan kuweka hoteli hapo, hawakufikiria view ya makaburi inaweza kufanya wateja wasije tena.
ReplyDelete