bongo darisalaaaam. wapi hapa?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. nadhani ni pale red cross au sio michuzi?

    ReplyDelete
  2. Duuu Holaaaaa mwanangu!

    ReplyDelete
  3. Hapa ni somewhere Kinondoni na utakuwa umepiga hii picha kutoka ndani ya Millenium Hotel, nilikaa pale nikiwa likizoni, nina imani nimepatia.

    ReplyDelete
  4. Hapo ni commonwelth war cemetery makaburi ya vita vya dunia nyuma ya millenium hotel si mbali na kijiji cha makumbusho, pembeni pia kuna makaburi ya wajerumani ya enzi za mjerumani pamoja na makaburi mengine nafikiri ni ya mojawapo ya mathehebu ya wahindi.
    Joel.

    ReplyDelete
  5. Hivi wakati wa kupora viwanja vya wazi ovyo katika awamu ya pili na ya tatu, ilikuwaje haya makaburi yakaachwa? Maana watu walikuwa na tamaa wala hawajali iwapo ni makaburi, uwanja wa michezo wala nini. Walipora tu na kuangusha mahekalu!

    ReplyDelete
  6. bahati mbaya nimegongwa na gari ughaibuni..kama mkiweza kunichangia changia mkaniweka kwenye jeneza zuri basi naomba nizikw hapa pia..sio mnaacha sehemu nzuri hapa ughaibuni..mnachanga hela nyingi kunisafirisha kisha mnanipeleka kinondoni..mara mia mgekuwa mnachanga hela kunipeleka kwenu machame..lol

    ReplyDelete
  7. Joel umepatia. Wewe kweli Dar unaijua. Hapo ni pale kijitonyama(makumbusho)kwenye makaburi ya vita ya dunia, mbele kidogo ni crematorium ya Hindu. Picha inanikumbusha Dar. Ilikuwa njia yangu kwenda shule, na kibaruani pia. Lakini sio site nzuri kwa hotel. Kwani ni nani ambaye anataka kuwa hotelini aki enjoy, alafu akifungua dirisha anaona makaburi. Hao walio plan kuweka hoteli hapo, hawakufikiria view ya makaburi inaweza kufanya wateja wasije tena.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...