em sii mashuhuri bongo aitwaye chumvi chumvi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mc chumvi2 utalamba?

    ReplyDelete
  2. atakuwa mtu wako tu wewe misupu,no mihela,no michuzi.mambo yake inaonekana makali maana watu wenye hiyo mibichwa ya kipedejhee huwa wanakuwa goodtime providers tu.aminia mr saltsalt.mimi

    ReplyDelete
  3. He is great man who enjoy his work n make others to enjoy too.

    ReplyDelete
  4. Namfagilia sana MC Chumvi Chumvi kwa kweli kazi yake ni nzuri sana, ila kuna ma mc wanaboa jamani, niliwahi kuhudhuria sherehe moja MC alikuwa Gadna wa clouds jamani ana mapozi ya ajabu. Shghuli nzima ni kupiga nyimbo za mkewe na kuongea na simu, alilipwa laki tano kama sikosei baddhi ya wageni walikuwa wanaidai kamati imfukuze, mwenyekiti wa shughuli ile alipata sana shida. sasa nimealikwa nyingine nasikia sebastian ndege naye mc sijui itakuwaje. ila chumvi chumvi, mc chitanda nawaamina raha ya shughuli ni watu kucheza na kufurahi.

    ReplyDelete
  5. huyu ni mtu ambaye anajua kazai alinifanyia kazi yangu vizuri sanaa hongera na hasante zake nyingi.
    kk
    kurasini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...