Home
Unlabelled
chumvi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mc chumvi2 utalamba?
ReplyDeleteatakuwa mtu wako tu wewe misupu,no mihela,no michuzi.mambo yake inaonekana makali maana watu wenye hiyo mibichwa ya kipedejhee huwa wanakuwa goodtime providers tu.aminia mr saltsalt.mimi
ReplyDeleteHe is great man who enjoy his work n make others to enjoy too.
ReplyDeleteNamfagilia sana MC Chumvi Chumvi kwa kweli kazi yake ni nzuri sana, ila kuna ma mc wanaboa jamani, niliwahi kuhudhuria sherehe moja MC alikuwa Gadna wa clouds jamani ana mapozi ya ajabu. Shghuli nzima ni kupiga nyimbo za mkewe na kuongea na simu, alilipwa laki tano kama sikosei baddhi ya wageni walikuwa wanaidai kamati imfukuze, mwenyekiti wa shughuli ile alipata sana shida. sasa nimealikwa nyingine nasikia sebastian ndege naye mc sijui itakuwaje. ila chumvi chumvi, mc chitanda nawaamina raha ya shughuli ni watu kucheza na kufurahi.
ReplyDeletehuyu ni mtu ambaye anajua kazai alinifanyia kazi yangu vizuri sanaa hongera na hasante zake nyingi.
ReplyDeletekk
kurasini