Home
Unlabelled
daladala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UMOJA HUU PEKEE NDIO UTATAUKOMBOA SISI WALALAHOI MBELE YA MIBEBERU HII ISIYOKUWA NA HURUMA, KEEP IT UP GUYS !!
ReplyDeleteMICHUZI ULIZIA TARATIBU ZA KUWACHANGIA FAMILIA YA MAREHEMU HASA ADA ZA WATOTO ALIOWAACHA, NANI ATAWASOMESHA HAWA, KAMA TULIWEZA KUWACHANGIA AKINA MAREHEMU WALTER, WHY NOT THIS LITTLE ANGEL ??
ReplyDeleteHuyo dereva hakuwa mstaarabu
ReplyDeleteViongozi wa Chama Cha Maisha (CCM)
ReplyDeletewamelewa madaraka! Nawashangaa umma wa Bongo Kustuka na kulaani KIFO CHA MTU MMOJA kwani mmesahau MAUAJI YA WATU 27 ZANZIBAR ETI KWA KUANDAMANA kinyume na "amri" ya polisi!! Hivi ni Kifungu gani cha Sheria kinasema mtu AUWAWE KWA KOSA LA KUANDAMANA?!?! Hadi leo Serkali ya CCM haijafanya "inquest" ingawa Human Rights Watch imelaumu mauaji hayo (soma www.humanrightswatch.com)
Lipi jambo jipya kwa Serkali ya CCM: kwani tumesahau MAUAJI YA RAIA 27 WALIOKIANDAMANA ZANZIBAR ambapo hakuna Sheria Bongo inayoamuru waandamanaji wauliwe wakikiuka "katazo" la polisi ingawa Katiba ya Nchi inaruhusu kuandamana ????
ReplyDeleteHata kama hakuwa mstaarabu ndio alistahili kifo? Na Dito ana mamlaka gani ya kumhukumu mtu on the spot?
ReplyDeleteWee anony wa juu, hata kama dereva hakuwa mstaarabu hakustahili kifo namna hiyo. Kama kila mtu angekuwa anawahukumu namna hiyo leo kusingekuwa na dreva wa daladala hata mmoja Dar. Wako rough sana! Ditopile angeita tuu polisi, kwani hata namba za akina Mwema na Tiba ni njenje siku hizi.
ReplyDeleteAnon hapo juu, ni sawa dereva hakuwa mstaharabu, je solution ni kujichukulia sheria mikononi kwa kumlamba shaba. Ditopile alitakiwa achukuwe namba ya gari na aende polisi.Na sio kujichukukia sheria mkononi.Je unashauri sasa tukikutana na madereva wasiowastaharabu, tujichukulie sheria mikononi?Ka hili hatujengi taita ila tunabomoa Taifa.
ReplyDeleteKwa Anoy wa 7:25:11 AM.
ReplyDeleteMadereva wote, siyo wa mabasi wala sio sisi wa magari madogo, wote ni wababe, unataka kuniambia tunapoona kuna foleni na tuna-overtake, au tunapopita ktk njia ya waenda kwa miguu ili kukwepa foleni (Kutanua) unataka kuniambia tunastahili kuuawa kikatili? Tunachostahili ni kuchukuliwa hatua za usalama barabarani, sio kifo
Anony wa 7:25 unaonekana wewe ndio mstaraabu sana...
ReplyDeleteHii inaonyesha kukua kwa demokrasi !
ReplyDelete