Home
Unlabelled
kawe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwenye hii picha,naona idadi ya watu wa usalama wa Taifa(mashushu) ni wengi zaidi kuliko idadi ya Raia wa kawaida.Naamini wanaandaa mazingira ya Kumnasua kwa mlango wa nyuma Bwana Ditopile.
ReplyDeleteMungu Ailaze Roho ya Marehemu Hassan Mahala Pema Peponi.
ReplyDeleteMuuaji Ditto lazima sheria ichukue mkondo wake na Serikali isilete ujanja kama wa miaka ya nyuma kumwachia huru kisa tu ni Kiongozi.
Michuzi uko huru sana na habari sasa utafutege na bodyguards kabisaa maana soon vigogo watakutafutia vya kukutafutia kipenzi chetu tukose habari motomoto bure
ReplyDeletePOA DITO, INABIDI UKANYEE KWENYE NDOO SALAAM KWA BABU SEYA NA WANAE NA MACHIZI WENGINE
ReplyDelete