Home
Unlabelled
kitimotoz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
C'mon hii kitu iko bomba sana maustaaz wa znz wanaipenda sana, Julius Nyaisanga upo,usikose ya jumamosi ijayo...Mambo ya Kitimotozzz Chazzz Hilary!!!!
ReplyDeleteLol, anony wa kwanza kama nakufahamu vileeeeeeeeee
ReplyDeleteHapa kuna misosi ya chee, mkate wa brown unapatikana kwa Tsh 230 tu, na hayo manyama nyama na manguruwe ya South Africa pia yanauzwa kwa Gram kadri unavyojaziwa ndio unavyolipa zaidi, hapo kuna kuanzia macarone, supagheti,sausages,bacon, chevon, mutton, pork, lard, polons, vyuku, viazi, chips, sambusa, meat rolls n.k
ReplyDeletetusubiri tuone matokeo ya majunk foods,mavyakula mabovu mabovu yasiyo na viwango,Amerika,ulaya,south Afrika ina matatizo makubwa ya watu kunenepeana ovyo na magonjwa ya kisukari na moyo,wabongo tuwe macho na huu 'utando usio na uwazi' au utandawazi,Rais asifurahie hili,wananchi watakwisha.Wabongo tusibadili utamaduni wa vyakula vyetu hivyo vina thamani kubwa mwilini,ingawa tunahitaji utafiti zaidi wa kujua thamani ya vyakula tunavyokula.
ReplyDeleteTutanunua hata nyoka na mamba toka Sauzi, nini kiti moto. Wabongo tusiwe washamba, vitu (vyakula) vya sokoni Kariakoo ndio bomba kuliko hivyo ambavyo ni genetically modified. Nunueni vitu vyetu wenyewe ambavyo ni organic.
ReplyDeleteNaomba nulize swali,hivi bidhaa za Tanzania zikowapi? mboni siku hizi kila kitu ni "Imported?" wizara ya viwanda inafanya nini?;sabuni,sausages kila kitu imported,halafu watanzania tunachekelea tunaona ndio maendeleo.
ReplyDeletebidhaa za tanzania zipo tena zipo nyingi tu.hizi mbili tatu zinazotoka afrika kusini na kupigwa picha kwenye gazeti zisikusahaulishe kuwa asilimia 80 ya watanzania wanakaa vijijini na huko hakuna shoprite!hata wakazi wa mijini wanatumia zaidi bidhaa za tanzania.kuna wachache sana wanaoweza kuafford hizi imported goods.
ReplyDeleteKwa hiyo hutaki tuonji ladha ya mamtoni tukiwa bongo!!?, wengine hatuna tunauli na tuvisa twakwenda Jb!! Hongera Kikwete!!!
ReplyDeleteAnony wa 7:35:55 PM Pengine tunafahamiana embu nikumbushe zaidi.
ReplyDelete