KUNA MDAU KANIAMURU NIWEKE PICHA HIZI. ETI HATA HII YA KOLO ALIYOKUWA OFUSAIDI. REFA ALIWABEBA SANA HAWA WANA-IMARATI...

Dear Michuzi. Nadhani maumivu yamepungua sasa, tafadhali usitufanyie mtima nyongo mwaga hizi picha kwenye blogu yetu kama ulivyo tuahidi. Halafu tueleze ulikuwaje baada ya gemu…

"YOU WILL WALK ALONE"

Legacy Travel & Tours Limited.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hamna cha ofusaidi wala nini - goli lilikuwa klini kabisa na labda nyie bwawa la maini mnaona dala wetu kapanda kwenda kufunga! Inaitwa ovalapu hiyo na bwawa la maini mlikuwa hamna jibu. Poleni sana, labda mjaribu mwaka kesho.....

    ReplyDelete
  2. Huyo aliyetuma hii picha kwa kweli hajui mpira. replays zimeonesha kabisa kuwa haikuwa off-side. Wakati pasi inatolewa, Kolo alikuna on-side. Hii picha inaonesha wazi Kolo aki-shoot bao na siyo akisubiri kupokea mpira.

    Tafadhali naomba hilo lijulikane!

    ReplyDelete
  3. Trio Kaka.....nimekupata vizuri, lakini mbona umemaindi sana hizi picha...wewe ni chama gani kaka? bwawa la damu, Portuguise blue wine? Mashetani wanywa damu au Imarati?.

    ReplyDelete
  4. www.bongonights.com

    ReplyDelete
  5. We www.bongonights.com usituletee matangazo hapa. Umesikia Jones Mrusha na Jones MacCoe unataka uwekewe tangazo lako mtumie michuzi na mlipe na sio kuweka ovyo ovyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...