
KUNA MDAU KANIAMURU NIWEKE PICHA HIZI. ETI HATA HII YA KOLO ALIYOKUWA OFUSAIDI. REFA ALIWABEBA SANA HAWA WANA-IMARATI...
Dear Michuzi. Nadhani maumivu yamepungua sasa, tafadhali usitufanyie mtima nyongo mwaga hizi picha kwenye blogu yetu kama ulivyo tuahidi. Halafu tueleze ulikuwaje baada ya gemu…
"YOU WILL WALK ALONE"
Legacy Travel & Tours Limited.
Hamna cha ofusaidi wala nini - goli lilikuwa klini kabisa na labda nyie bwawa la maini mnaona dala wetu kapanda kwenda kufunga! Inaitwa ovalapu hiyo na bwawa la maini mlikuwa hamna jibu. Poleni sana, labda mjaribu mwaka kesho.....
ReplyDeleteHuyo aliyetuma hii picha kwa kweli hajui mpira. replays zimeonesha kabisa kuwa haikuwa off-side. Wakati pasi inatolewa, Kolo alikuna on-side. Hii picha inaonesha wazi Kolo aki-shoot bao na siyo akisubiri kupokea mpira.
ReplyDeleteTafadhali naomba hilo lijulikane!
Trio Kaka.....nimekupata vizuri, lakini mbona umemaindi sana hizi picha...wewe ni chama gani kaka? bwawa la damu, Portuguise blue wine? Mashetani wanywa damu au Imarati?.
ReplyDeletewww.bongonights.com
ReplyDeleteWe www.bongonights.com usituletee matangazo hapa. Umesikia Jones Mrusha na Jones MacCoe unataka uwekewe tangazo lako mtumie michuzi na mlipe na sio kuweka ovyo ovyo.
ReplyDelete