balozi wetu marekani mh. andrew daraja (kati) akila pozi na`baadhi ya wabongo waishio tennessee siku ya uhuru dei.

mdau, kama una picha za jinsi ulivyoserebuka siku hii adhimu lete niimwage...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Du huyo jamaa U.S kafika lini tena!!!Kijana tulikuwa naye pale UDSM mwaka huu.Ama kweli watu wana madili.Kamua baba.

    ReplyDelete
  2. we mbona huridhiki mpaka mnatuletea richmond! serikali inakugharimia mambo kibao,uwe na uchungu na nchi yako acheni kutuuza.Ubalozini napo service very poor! wafanyakazi hapo wamejaa nyodo,dharau na ubabaishaji hasa kwa wabongo wenzao.jitumeni kutumikia na kuwapenda wabongo wenzenu.E.A tutamezwa maana hatuko efficient hata kidogo.

    ReplyDelete
  3. Mtapeli mkubwa huyu, kahongwa na hao Richmond sasa hata umeme wenyewe hatuuoni. Njaa nyingine nu za kijinga sana.

    ReplyDelete
  4. I know wanapose tu hapa lakini kweli ubalozini ni poor service sana. Ukiwaita kila saa ni subiri wanakutransfer over and over and over bila hata kuangalia kuw ninaita kutokea wapi. Yaani please ni tabu sana. Sijui bado ni chai chai ndio inatakiwa wakushughulikie au wakupe maelekezo!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...