Home
Unlabelled
daraja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du huyo jamaa U.S kafika lini tena!!!Kijana tulikuwa naye pale UDSM mwaka huu.Ama kweli watu wana madili.Kamua baba.
ReplyDeletewe mbona huridhiki mpaka mnatuletea richmond! serikali inakugharimia mambo kibao,uwe na uchungu na nchi yako acheni kutuuza.Ubalozini napo service very poor! wafanyakazi hapo wamejaa nyodo,dharau na ubabaishaji hasa kwa wabongo wenzao.jitumeni kutumikia na kuwapenda wabongo wenzenu.E.A tutamezwa maana hatuko efficient hata kidogo.
ReplyDeleteMtapeli mkubwa huyu, kahongwa na hao Richmond sasa hata umeme wenyewe hatuuoni. Njaa nyingine nu za kijinga sana.
ReplyDeleteI know wanapose tu hapa lakini kweli ubalozini ni poor service sana. Ukiwaita kila saa ni subiri wanakutransfer over and over and over bila hata kuangalia kuw ninaita kutokea wapi. Yaani please ni tabu sana. Sijui bado ni chai chai ndio inatakiwa wakushughulikie au wakupe maelekezo!!!!!
ReplyDelete