Mwenywekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman A. Mbowe ametoa hoja nzito katika mtandao wa JamboForums.com
Soma Hoja aliyoitoa Mhe. Mbowe.
Soma Hoja aliyoitoa Mhe. Mbowe.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Freeman Elikael Mbowe umenena!Uoga2 huu hautayamaliza matatizo ya TZ.Wanaharakati yabidi tuwe mstari wa mbele.Kazi yako tunaiona Mbowe.
ReplyDeleteFreeman Elikael Mbowe ni nani, jamani? Ni yule pima pima?
ReplyDeleteMichuzi siyo kila kitu unaweka humu sasa hii ni nini? Umeshakuwa mbabaishaji sasa.
ReplyDeletewewe hapo juu unajiita CHADEMA! Halafu humjui Freeman Mbowe!? au unaleta kejeli tu!
ReplyDeleteWewe hapo anonymous wa Tuesday, December 05, 2006 2:47:38 AM, umeandika vitu gani>>>>.... humjui Freeman Mbowe!?<<<< Hizo alama za vituo !? baada ya neno Mbowe zina maana gani?
ReplyDeleteFreeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama cha upinzani cha Chadema.Alirithi Uenyekiti wa Chama toka Kwa Baba Mkwe wake Edwin Mtei.Kaoa Mtoto wa Edwin Mtei.Hivyo baba kamuoza mwanae na akampa na Chama kama zawadi na shukrani ya kukaa na mwanae ili akiishiwa ruzuku apatayo ya Chama itunze binti yake.
ReplyDelete