Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Freeman Elikael Mbowe umenena!Uoga2 huu hautayamaliza matatizo ya TZ.Wanaharakati yabidi tuwe mstari wa mbele.Kazi yako tunaiona Mbowe.

    ReplyDelete
  2. Freeman Elikael Mbowe ni nani, jamani? Ni yule pima pima?

    ReplyDelete
  3. Michuzi siyo kila kitu unaweka humu sasa hii ni nini? Umeshakuwa mbabaishaji sasa.

    ReplyDelete
  4. wewe hapo juu unajiita CHADEMA! Halafu humjui Freeman Mbowe!? au unaleta kejeli tu!

    ReplyDelete
  5. Wewe hapo anonymous wa Tuesday, December 05, 2006 2:47:38 AM, umeandika vitu gani>>>>.... humjui Freeman Mbowe!?<<<< Hizo alama za vituo !? baada ya neno Mbowe zina maana gani?

    ReplyDelete
  6. Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama cha upinzani cha Chadema.Alirithi Uenyekiti wa Chama toka Kwa Baba Mkwe wake Edwin Mtei.Kaoa Mtoto wa Edwin Mtei.Hivyo baba kamuoza mwanae na akampa na Chama kama zawadi na shukrani ya kukaa na mwanae ili akiishiwa ruzuku apatayo ya Chama itunze binti yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...