mdau toka uingereza aliye mapumzikoni bongo akila pozi na baadhi ya washiriki wa fainali za kitaifa za miss utalii 2006 zitazofanyika jumamosi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hivi Miss Utalii mshiriki anaweza kuwa na umri hata wa miaka 36? Manake nawaona washiriki karibu wote ni vikongwe!!Ndio maana siku zote Lundenga ataendelea kuwa juu kuliko Gideon, manakw washiriki wa Miss Utalii sijui ni machangu hawafananii na mamiss kabisa!Hebu angalia kwenye picha washiriki wa 1,2, na 3 kutoka kulia, sijui wameshanyonyesha watoto wangapi kila mmoja !!!!!

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli hawa ma miss rangi naikubali lakini mbona kama wamelazimishwa kusmaili???

    ReplyDelete
  3. Mhhhmhh! Mzee Michuzi naona unapendelea warembo waliotoka Uingereza, kwahiyounawasaka mjini ili tu wapozi kupiga picha nanyie? kama ulivyosema amekuja tu kutembea kwahiyo yuko likizo. Basi tutafutie na wengine waliotoka Uingereza ili tuone tu picha hapa maana tunawapenda na tunajua wapo mjini hapa, kama Irene, Maggie, na Khadija wote hawa wanaishi Uingereza na ni totoz boooooooombaaaaaaaaaaaa saaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaa. Mzee uwezo huu unao basi wasake na utuletee picha zao pia.
    Shukran.

    ReplyDelete
  4. MHESHIMIWA Michuzi kama ninavyoona unaitwa, basi nami nakufagilia. Mheshimiwa mbona unaniangusha? nimeomba basi uwasake totoz wengine ambao wamekuja kutoka UINGEREZA wapo hapa mjini sasa likizo au kwa mapumziko kama ulivyomu-address huyu totoz hapo juu. TUNAJUA HUU UWEZO UNAO. Waite basi ili wapozi nawe, utapata ujiko maana ni totoz poa sana, na warembo kweli, mmoja wao ni mtoto wa yule mzee mkali wa musoma Mabiba, anaitwa Irene, na totoz mwingine ni Maggie, na Khadija, hawa wote wanafanya kazi na wanaishi UINGEREZA, wapo tu hapa kwa mapumziko ya Christmas. Tuletee MHESHIMIWA tuwe na picha za kuangalia mpya hapa, zirembeshe blog yako. PLIZ

    ReplyDelete
  5. Weye Inno......naoona you should just give up, sidhani Michuzi atawapata hao warembo unaoomba picha zao, labda boyfriends wao wakali wamewachimbia, au laa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...