Home
Unlabelled
wapi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hilo ni Jengo la walimu, liko Ilala mbele kidogo ya ofosi ya Mheshimiwa Kandoro.
ReplyDeletehapo sio mnazimmoja?
ReplyDeleteTabata
ReplyDeleteHapa ni makumbusho Michuzi.Na hilo jengo linaloonekana kwa mbali ni Jengo la ALPF
ReplyDeletehapa ni maeneo ya ilala karibu na hospitali ya amana.
ReplyDeletehapo ni ilala barabara kuu inayoelekea kariakoo,kama unatokea buguruni.
ReplyDeletehapa ni njiapanda ya kariakoo na Ilala. ukielekea huko mbele aliko trafic ni karibu na ofisi za TRA-(Shaurimoyo).upande wa kulia kwa huyu jamaa alivaa fulana ya njono ni uwanja wa mpila na ukirudi nyumba na ukashuka chini, unakwenda K/Koo-shule ya Uhuru. Bado niendelee au? Bongo bado yetu tunaikumbuka---Mzulu/Wichita/KS
ReplyDeleteHaya kaka ni Maeneo ya Ilala Boma, hapo karibu na kwa, najaribu kufigure out kama ni Uhuru au barabara gani hapo.
ReplyDeleteKujaribu sio kushindwa kaka
Hey, Michuzi!!
ReplyDeletehapo ni barabara ya Uhuru maeneo ya karibu na soko la mchikichini. Kituo hicho cha daladala iko mbele kabisa ya soko lenyewe. Huo ukuta unaonekana na "steel meshes" ni ukuta wa TBL kama sikosei. Kipanya kile kama sikosei ni rangi ya mwendo wa kigogo, mburahati, pia naona na kipanya chenye rangi za vingunguti design kwa mbali. Tosha??
michuzi bro umenichekesha sana maana nimerudia mara kibao kuelewa mstari mfu ninini? nimepata shida sana kuelewa sentensi nilipokuja kugundua nimecheka sanaa.
ReplyDeleteKaka michuzi hapo ni Temeka kaka,kama sikosee hapo,maana ni muda nimetoka huku na mambo mengi yamebadilika mkuu wangu,nitumie zawadi yangu plse
ReplyDeleteNafikiri hapa ni maeneo ya shule ya Uhuru makutano ya barabara ya Uhuru na Mtaa wa Shaurimoyo. SM - Toronto, Canada
ReplyDeletehapo ni Buguruni, mkabala na St. Mark College cha Anglican.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHapo ni maeneo ya palm beach hotel karibu na selender bridge. Bila shaka nimetoa jibu sahihi na ninasubiri hiyo zawadi.
Oma.
Kweli nyote hamuijui Dar tena,hapa ni m/nyamala kwa mama zakaria au mnasemaje jamani?
ReplyDeleteMimi sijui hapo ni wapi.
ReplyDeletehapa ni chakechake pemba karibu na ofisi za CUF.....Guwa sikosei hata siku moja bro masoup, oh sorry bro Michuzi ahaaa
ReplyDeletehapa chakechake pemba karibu na ofisi za CUF AHAHAHA
ReplyDeleteHAPO NI KINDA KINDALA NDEGE KUNCHIMBILE KUCHI CHIMWANDA KULE KALIBU NA MSAKUZI
ReplyDeleteHapa ni mtaa wa Parliament square mkabala na House of parliament kwa chati hivi kuna Westminster Bridge. Jana tu nilimkuta mshikaji huyo mwenye cap nyeupe na T-shirt nyeusi akisukuma mfagio hapo. Michuzi nimewin au siyo??
ReplyDeleteUbungo mwisho
ReplyDeleteHapo ni Dar es Salaam!
ReplyDeleteSWALI NI WAPI HAPA, NA SIO JENGO GANI LILE. YAMEBAKI MASAA MACHACHE KABLA YA MSTARI MFU. WADAU WA UGHAIBUNI MNANIANGUSHA JAMA....
ReplyDeleteMichuzi hapo ni ILALA BUNGONI karibu na splending secrtarian college kama unaenda Buguruni Malapa kutoka Ilala bungoni plse!!
ReplyDeleteNaomba zawadi yangu plse na wala sijataja hilo jengo hapo nimetaja sehemu hapo
Thankx
bro michuzi hilo njengo liko mitaa ya ilala pembeni ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar.kash
ReplyDelete