wadau wa ughaibuni, je ni wapi hapa? atayepatia ntamtumia zawadi ya picha aitakayo. mstari mfu ni usiku wa manane desemba 31 sekunde moja kabla mwaka 2007 haujaanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Hilo ni Jengo la walimu, liko Ilala mbele kidogo ya ofosi ya Mheshimiwa Kandoro.

    ReplyDelete
  2. Hapa ni makumbusho Michuzi.Na hilo jengo linaloonekana kwa mbali ni Jengo la ALPF

    ReplyDelete
  3. hapa ni maeneo ya ilala karibu na hospitali ya amana.

    ReplyDelete
  4. hapo ni ilala barabara kuu inayoelekea kariakoo,kama unatokea buguruni.

    ReplyDelete
  5. hapa ni njiapanda ya kariakoo na Ilala. ukielekea huko mbele aliko trafic ni karibu na ofisi za TRA-(Shaurimoyo).upande wa kulia kwa huyu jamaa alivaa fulana ya njono ni uwanja wa mpila na ukirudi nyumba na ukashuka chini, unakwenda K/Koo-shule ya Uhuru. Bado niendelee au? Bongo bado yetu tunaikumbuka---Mzulu/Wichita/KS

    ReplyDelete
  6. Haya kaka ni Maeneo ya Ilala Boma, hapo karibu na kwa, najaribu kufigure out kama ni Uhuru au barabara gani hapo.

    Kujaribu sio kushindwa kaka

    ReplyDelete
  7. Hey, Michuzi!!

    hapo ni barabara ya Uhuru maeneo ya karibu na soko la mchikichini. Kituo hicho cha daladala iko mbele kabisa ya soko lenyewe. Huo ukuta unaonekana na "steel meshes" ni ukuta wa TBL kama sikosei. Kipanya kile kama sikosei ni rangi ya mwendo wa kigogo, mburahati, pia naona na kipanya chenye rangi za vingunguti design kwa mbali. Tosha??

    ReplyDelete
  8. michuzi bro umenichekesha sana maana nimerudia mara kibao kuelewa mstari mfu ninini? nimepata shida sana kuelewa sentensi nilipokuja kugundua nimecheka sanaa.

    ReplyDelete
  9. Kaka michuzi hapo ni Temeka kaka,kama sikosee hapo,maana ni muda nimetoka huku na mambo mengi yamebadilika mkuu wangu,nitumie zawadi yangu plse

    ReplyDelete
  10. Nafikiri hapa ni maeneo ya shule ya Uhuru makutano ya barabara ya Uhuru na Mtaa wa Shaurimoyo. SM - Toronto, Canada

    ReplyDelete
  11. hapo ni Buguruni, mkabala na St. Mark College cha Anglican.

    ReplyDelete
  12. Michuzi,
    Hapo ni maeneo ya palm beach hotel karibu na selender bridge. Bila shaka nimetoa jibu sahihi na ninasubiri hiyo zawadi.
    Oma.

    ReplyDelete
  13. Kweli nyote hamuijui Dar tena,hapa ni m/nyamala kwa mama zakaria au mnasemaje jamani?

    ReplyDelete
  14. hapa ni chakechake pemba karibu na ofisi za CUF.....Guwa sikosei hata siku moja bro masoup, oh sorry bro Michuzi ahaaa

    ReplyDelete
  15. hapa chakechake pemba karibu na ofisi za CUF AHAHAHA

    ReplyDelete
  16. HAPO NI KINDA KINDALA NDEGE KUNCHIMBILE KUCHI CHIMWANDA KULE KALIBU NA MSAKUZI

    ReplyDelete
  17. Hapa ni mtaa wa Parliament square mkabala na House of parliament kwa chati hivi kuna Westminster Bridge. Jana tu nilimkuta mshikaji huyo mwenye cap nyeupe na T-shirt nyeusi akisukuma mfagio hapo. Michuzi nimewin au siyo??

    ReplyDelete
  18. Ubungo mwisho

    ReplyDelete
  19. Hapo ni Dar es Salaam!

    ReplyDelete
  20. SWALI NI WAPI HAPA, NA SIO JENGO GANI LILE. YAMEBAKI MASAA MACHACHE KABLA YA MSTARI MFU. WADAU WA UGHAIBUNI MNANIANGUSHA JAMA....

    ReplyDelete
  21. Michuzi hapo ni ILALA BUNGONI karibu na splending secrtarian college kama unaenda Buguruni Malapa kutoka Ilala bungoni plse!!

    Naomba zawadi yangu plse na wala sijataja hilo jengo hapo nimetaja sehemu hapo

    Thankx

    ReplyDelete
  22. bro michuzi hilo njengo liko mitaa ya ilala pembeni ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar.kash

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...