Home
Unlabelled
maboksi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu wanaposema maboksi ni nadharia, hakuna mtu yeyote ughaibuni anabeba boksi kama hiyo picha. Kumbebesha mmarekani boksi kichwani labda inabidi umpe si chini ya $30 kwa saa, kisha kesho yake jiandae kwenda kortini.lazima atafeki kaumia shingo, hilo sasa dili la mamilioni ya shilingi.
ReplyDeleteMichuzi mi nilipokuja marekani , miaka ya mwanzoni nilifanya kazi hizo za maboksi. Nakumbuka mnakuwa ktk productionline.
ReplyDeleteBox lenye order ya mteja wa fast access internet linaazia kwenye kumputa scanning ya kwanza, jamaa anascan bill(order) na kuipush kwenye runnning line. ktktkuna watu kama wawili mpaka wanne. mmja anatumbukiza manual ktk boksi, wapili anatumbukuza folder yenye cd na nmaelezo mengine, mwingine anatumbukiza coupons au filter etc. Boksi linaenda kwa mtu wa mwisho, analiweka kwenye mzani anascan ili kupata uzito(eg2lbs) na shipping label. Toka hapo boksi linasukumwa donw ktk conveyor belt kwenda ndani ya truck ambako huko kuna mtu au watu wa stack. Hii kazi ilikuwa inalipa hela ndogo $9 kwa saa ndo maana sipo huko tena.
sioni uwezekano wa mtu kubeba boksi kama hiyo picha USA. utamlipa 44 ngapi, hiyo gharama ya lawyers utaiweza
Michuzi, SMART BOY, unajibu kwa picha, nimecheka sana, especially kwa kuwa nafatilia hii blog nikiwa na break hapa kazini. Walosema wanabeba maboxi mamtoni tunaomba picha zenu mkiwa kazini pia.
ReplyDeleteMichuzi, wale wenye viroba vya rambo mikononi na kichwani vipi, wao hawajabeba?
ReplyDeleteINDIA
ReplyDeleteMichuzi kaka yangu utapunguza washabiki wa hii blog yako. I am telling you. Wengine lazima tuangalie hii site kwa ajili ya picha zako na up to date news unazoziweka huku kila siku. Sasa hivi ukishaanza kuwelka mijadala yako. Na mijadala yenyewe inaonyesha ulivyo bias. Unajua huku hata celebrites/poloticians ambao ni racist hawasemi. Sasa wewe kama unaona watu wanaokaa nje ya nchi wanawaste their time au hawako productive kwenye nchi find a right way to put your thought out au jikaushe tu. Mtu mwenyewe ndio wewe kila siku uko majuu na wanaokutembeza mjini ndio hao hao unao wadharau. Kesho ukija utakua mgeni wa nani? Hata mdogo wako atakukimbia
ReplyDeleteTUMIA KIPAJI ULICHOPEWA NA MUNGU "UPAPARAZI" picha zako zina communicate na sisi au na watu wote so well you don't have to open your mouth. Wewe unavyoonyesha majumba mazuri hayo bongo kila mtu alikua amepanga kurudi TZ this year or soon lakini hii mijadala tena ...duh... inaonyesha kumbe bongo moto wa kuotea mbali ... I don't have to believe in all I see just because it's on the picture ....lol....hey ...I still love you but be nice to us....and bring back our rhythim
kaka pole ila naungana mkono nawe walao mabox ya ughaibuni yanalipa ila nadhani itakuwa marekani kwani uingereza sughuli tako tuu!! wakonosoo waliobobea wanaita BBC - BRITISH BUM COOPERATION ni kusafisha tuu hivi vizee nyeti zao nk. Sasa wewe lenga USA labda wenzetu mabox deal.. huku hizo kazi posh za mabox ni za wahindi ..wabantu tako au kuokota strawberries msimu ukifika hahahhaaaa
ReplyDeleteMzee usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Tunao wenzio hapa ambao walikuwa ma-director huko nyumbani na sasa wanaosha wazee matako huku, si mchezo. Hao ata kuludi nyumbani hawataki kusikia ndo washajiripua hivyo, wanaona bola waoshe matako huku kuliko aibu waliyokimbia nyumbani. Si matani babake.
ReplyDeletemichuzi hivi kweli wewe unasema watu warudi nyumbani kusudi waje kubeba mabox kichwani kama huyu jamaa si heri yahuku mtu unatumia forkrifti kubeba badala ya kutembea nayo kichwani mimi naona wewe roho inakuuma kwani unapokuja watu wanakupokea vizuri na unakula vizuri ukitoka hapo unakunguta matako yako ikisha fika bongo unaanza kutupiga madongo sivyo hivyo ndugu yangu michuzi
ReplyDeleteKubeba mabox ni ubebaji..lakini sidhani wa Amerika wanabeba kichwani...wanaweka kwenye dollies...they use less energy!
ReplyDeleteMichuzi karibu ughaibuni!
ReplyDeleteHuku kama una nia njia itapatikana,kama una kipaji,kisomo,bidii,uvumilivu utafanikiwa tuu na hamna longolongo za kibongo{mvumilivu huku kweli hula mbivu}!Mwenzako mwanzoni nilisota mno kusoma[kujisomesha maana serikali ya bongo hutupa watu nakuwasahau!!],baada ye nilipomaliza kwenda kuomba kazi walipoangalia makaratasi yangu wenyewe walinisaidia kupata kibali na kuniajiri bila kuniuliza nimetokea wapi na longolongo zingine leo nina zaidi ya miaka 20 huku na bado ni raia wa bongo mwenye permanent resident permit ya kukaa huku na uraia nikitaka watanipa na muajiri huniuliza ukitaka uraia niambie nikushugilikie maana anajua umuhimu wa kazi yangu hapa!Leo nimekuwa tx nawafundisha kazi hao ambao wakija bongo wanapapatikiwa!Anyways ndio Tz tulivyo!!Kuhusu kuja kwako huku kwa ulaya lenga hizi emerging economies pesa za Eu zinamwagwa huko kishenzi!Pia huko bado hamna foreigners wengi maana kwenye nchi zingine watu wamejazana na wengine shughuli zao sio nzuri[penye wengi pana mengi!]unaweza ukakuta unatiliwa mashaka kisa waliotangulia walishaharibu!Canada,ireland,australia na new zealand ni maeneo mengine mazuri tuu ukiwa na fani nzuri.Nitakuwa bongo juni/julai kama huna pingamizi tunawezeza kukutana kubadilishana mawazo !
Acha kukebehi watu wanaokaa ughaibuni wewe...kila siku unasomeshwa bado hutii akili ????? Hii inaonyesha ni kiasi gani u-limbukeni
ReplyDeletemichuzi amenunua kamera kadhaa, basi anaona kama mbingu imefunguka kwake. Najua watu kadhaa waliokuwa nazo sasa mambo si mambo, michuzi lifestyle na kiwango chako cha maisha kipo chini sana kulinganisha na hawa watu unaojaribu kuwatukana. Maboksi ni sehemu tu ya maisha, baada ya muda fulani unamaliza shule unapata kazi bora. Hope utawarithisha watoto wako kuwa mpiga picha wa Raisi.
ReplyDeleteHivi Ughaibuni na Mabox ina¨husu USA pekeee?? Mbona jamaa wa USA mnajitetea sana? Mbona jamaa wa Germany, France, Austria etc hawapwayuki kama nyie huko? Au ni ya kweli hayo??? Kaka Michuzi twende zetu Ujerumani - Frankfurt kule inalipa kwa sisi wenye kitabu chetu kuMTWE.
ReplyDeleteSuccess starts from within
ReplyDeleteYou must go to success, it doesn't come to you.
Everyone who got where they are had to begin where they were.
The highest mountain is climbed one step at a time
Don't worry about having all the answers in advance.
You just need to have a clear idea of your goal.
Success is when you reach your goals.
To my idea IOWA will better for you.....
labda watu wa USA wanapata kuingia online more often. internet sio anasa kama bongo ambapo % ya wenye access home ni wachache. Michuzi amewalenga watu wa USA , anawalipa fadhila kwa waliyomtendea akiwa ziarani na Raisi.
ReplyDeleteAlafu watu wengine wanaomjibu hawafanyi kazi ya mabox wanamwelimisha tuu.
ReplyDeleteHivi nyie huko sijui wapi mnazania kweli USA tunabeba mabox hivi? Msioko USA au ambao hamjafika msitu lable na hii career. Hii ni one of our jokes. Retail, factory and restaurant ndio kazi za kwanza kama ulikuja tu umemaliza form four au form six kutoka TZ na wakati unapokua unasoma huna hata paper za kufanya kazi ndio hizo kazi majority ya watu tulipitia. Lakini in reality sijawahi hata kumwona mbongo akibeba box hata siku moja. Na kama umekuja na degree na accent yako imelainika tayari unaanza na kazi nzuri tu.
ReplyDeleteMichuzi cha kufanya jifunze kingereza njoo marekani. Money shot moja huku inalipa hata $2,000,000 hapo utaishia na kaphoto point tu kamera ikiharibika sijui utakua umeserve enough money to repair it au ndio itakua unakula mtaji tena.....angalia wacheza mpira wetu TZ wanaujuzi kweli lakini life yao....
Nadhani kuna mtu amesema mbona watu wa USA wanachangia sana katika hii topic nadhani ni kutokana na availability ya Internet kila sehemu. USA na Canada karibu kila mtu ana Internet nyumbani na wengine wengi makazini tofauti na nchi za Ulaya, Amerika ya Kusini au Asia(ukiondoa South Korea na Japan). Asilimia ya Watanzania wenye internet nyumbani ni ndogo sana nadhani inaweza kuwa ni 0.00000001%.
ReplyDeleteKuhusu Mabox nadhani wengi kama walivyosema mara nyingi hutumika kama metaphor kwa kazi za chini ambazo wengi hufanya wakiwa bado vyuoni na pia watu hutumia hilo neno kiutani kumaanisha kazi wafanyazo. Watu huwa hawabebi mabox kichwani kama picha inavyoonyesha, maana hapo watu wangefungua kesi kila siku na kupata millions of dollars.
Wewe Anonymous wa 2:12:15 AM, mbona mshamba sana! Nani amekueleza kuwa Ulaya hakuna internet kila sehemu?? Hujui kuwa wa ULAYA ndo wanao CIVILZE USA?? Labda unaongelea UTURUKI. Mshamba mkubwa weeeeeeeeeee!
ReplyDeleteHuyu jamaa aliyechangia mwisho anaonekana kweli ni mbumbu wa kutojua kwamba Intaneti hapa ulaya sisi tunazo hadi home ila hatuna shida ya majadiliano ya kijiweni. Mtu anapotumbukiza mada ambayo inataka kuleta mijadala kama ya kijiweni itakuwa inawapotezea muda. Kwani komenti hizi anazipeleka serikalini?
ReplyDeletewakuu inabidi tumuelimishe kaka Michuzi faida na hasara za kukaa ughaibuni. Kweli kwa usawa huu bongo hailipi, tuache unafiki tukubaliane tuu. Swala la Micuzi kupewa lift na JK kila akienda nje mi naona ni personal (anatafuta riziki kama wengine popote pale..)Unajua we should learn kujadili hoja na siyo watu!! Michuzi leta hoja usilete mengineyo.
ReplyDeleteNaomba kuwasilisha.
Nyinyi watoto wa Ulaya msitake kubisha. Huyo anon wa 2:12:45 amesema ukweli. Ulaya sio kwamba hakuna internet ila ni gharama sana kwa high speed kwa hiyo watu wengi wenye internet inabidi watumie dial-up kama bongo. Labda watu wa europe wanachowashindia wabongo dial-up zao ni 56K kulinganisha na 28K za bongo.
ReplyDeleteNaendaga sana Ulaya na kila unaemtembelea hana Internet nyumbani yaani inaboa sana hadi inabidi uende Library. Wabongo wengi wa Europe wana access ya net wakiwa mashuleni na makazini kulinganisha na majumbani mwao. Wala sio ushamba jamaa kawaambia ukweli sema mnabisha tu. Kitu kingine mtu ukiwa unatoka US kwenda kama UK kutembea kila mtu lazima akuagizie nguo na viatu. Hivi mnaona aibu kuvaa Jeans zenu za condom?? Lakini pamoja na yote Bongo ndio the best.
Wa Ulaya wanawaagiza sababu bei inakua dondoro.Wake up Mr America.£ is stronger so is the Euro
ReplyDeleteHaving stronger Euro or Pounds doesn't mean the European economy is stronger compared to that of USA.
ReplyDeleteNyie watu wa USA ni washamba na wenyewe fikira duni kabisa, mkiigia USA kutoka mpaka mfe! Na nauli za kurudi maiti mchangiwe.
ReplyDeletewengi wenu baba zenu na mama zenu wamekufa nyumbani mmeshindwa kwenda ata kuzika! kuna mtu namjua yuko USA ana miaka 19 hajapata ata hilo karatasi la chooni.
Kuhusu Viwalo nakubaliana na nyie kuwa viwalo mnavipata kwa bei ya ubwete kwa sababu ya many sellers are competing and this lead to low price, apart from that mna struggle tu.
EURO POWER
Wewe AMERIKA mbona kichaa hivyo?? bongo kwenyewe hatutumii hiyo dial up ya 28K ya mwaka 2000. Pole sana! Tuna cable up 400Mbs unapata kijana!! Pochi yako tu!! Kumbe michuzi yupo correct kwamba huko MTAISHA kwa Risasi!! Pole sana!!
ReplyDeleteInaelekea bongo na europe only london people wameungana na kutuchukia siye huku USA.....jamani mbona hivyo kwani watu wakisema ukweli ni vibaya.
ReplyDeleteLabda aliyetoa maoni yake mume mchukilia vibaya. Mimi nilikua huko summer london it is so real tuache uongo. Jamani mliokwisha kufika london na kufika US mnisaidie hili. Maisha mazito sana hapo London, kwenda sijui kule reading, newbury, leicester, chatam. Hiyo pound ni kubwa lakini ukiishi london haiendi mbali. Afadhali huku a dollar can go further.
Ni heri tuseme ukweli ili tuelimishane mimi napenda kusafiri sana ili nijue maisha yako vipi sehemu zingine nisije nikadoda tu hapa USA na ganda lao. Sio kuwa nawakandia lakini mimi kati ya nyumba nilizopitia wana PC nzuri na everything lakini most of them wanasema unajua kwa vile hata hatukai nyumbani sana ndio nimeona hata hatujaweka internet service. I was like what????
Halafu kule kwao watu wanaweza kukaa nyumba moja wengi tu compare to America mtu akija ukimpokea baada ya miezi mitatu anaweza kupangisha na kuishi na atleast roommate mmoja au wawili. Halafu pia ukiangalia apparment zao ni ndogo sana ukilinganisha na za usa. Small kitchen, small bathroom , small bedrooms. Chakula ghali ila wana cheese , chocolate na maziwa matamu sanaaaaaa
Ubungo Plaza,
ReplyDeleteAcha kamba kijana usitake kuongopea watu hapa. Hiyo speed ya 400mbps hata hapa Taifa la kwanza duniani la USA haipatikani kwa watu binafsi maana speed ni kubwa sana hiyo na ni very expensive. Hiyo speed inaweza kuwa inatumiwa na kampuni kubwa kama Microsoft au GE tena Katika branches zake zote.
Unajua kitu kinaitwa T3 ambayo mara nyingi inatumiwa na makampuni makubwa au Universities kubwa max speed yake ni 44mbps. Na hizi kampuni ujue zinatumia Fibre Optic Cables ambazo Bongo na sehemu karibu zote Afrika hakuna. Bongo kuna kampuni chache zinatumia satelite connection ambayo unakuta max speed yake mara nyingi ni 200kbps na sio 400mbps.
Tatizo wabongo wengine nyinyi ni Vihiyo halafu mnajifanya mnajua sana ndio maana nchi inazidi kudidimia kiuchumi kutokana kuwa na mbumbumbu wengi wanaojifanya wanajua.
Wewe anony wa Friday, January 05, 2007 1:53:48 AM
ReplyDeleteWacha ushamba na usiongee vitu ambavyo haujui,hapa bongo tupo juu sana wa technology,sasa hivi watu wengi wana wireless connection majumbani kwao,tena kuna watu wanatumia speed kama za maofisini,kwa mfano hapa ofisini nilipo sasa tunatumia 256 na tupo watu kumi tu na hatutoi huduma ya Internet kwa wengine.
Kuhusu Fible Optic Cables huhu ndio usiongee tumeanza zamani,nenda chuo kikuu cha dar es salaam pale utakuta fible imetandazwa kutoka main campus mpaka UCLAS,wacha kudharau kwenu wewe ungali hata haujui hali ikoje huku,Unaona umemeliiiiza kutumia T1 eeh?Huku hadi simu za mkononi zinakamata net man!!
HAYA KAOGE HARAKA UENDE KWENYE MABOX.
Anon 3:34:37
ReplyDeleteNdio maana nikasema Bongo bado kuna mbumbumbu wengi sana na mara nyingi teknolojia imewapitia pembeni lakini huwa mnajifanya mnajua sana kila kitu. Hivi unajua ISP zote za Bongo lazima zi-dial USA au Europe wakati wewe unataka kutumia Internet hapo?? Kwa mfano wewe uko hapo Ubungo Plaza unataka kumtumia e-mail mshikaji wako aliyepo Millenium Tower pale Kijitonyama lazima hiyo e-mail iende hadi USA au Europe ndio imfikie mshikaji wako. Na unajua hiyo distance ina madhara gani kwenye internet speed?? Halafu mnakuja kutuongopea eti speed yenu ni 400mbps. Halafu hiyo wireless connection ya BENSON ONLINE wala haina hiyo speed maana huwa naitumia nikiwa Bongo.
Hivi unajua kuna mpango wa kuweka submarines cables zizunguke African continent ili kuongeza speed ya internet?? Na katika hiyo project Tanzania haimo kutokana na kujitoa COMESA maana hiyo ni project kwa nchi zilizo chini ya COMESA.
Nyini ndio mtakuwa mnajiita ma-Dr wenye degrees kutoka Online Universities ambazo haziko accredited na matokeo yake mnakuwa hamjui chochote na kubakia kuwa Vihiyo for LIFE.
Anom 3:34:37 uliyoyaandika ni kweli tupu.Huyo jamaa yumo ktk lile kundi la VIHIYO ambao mpaka leo wanaendelea kulitia umaskini taifa letu kwa umbumbumbu wao.Hujifanya wanajua lakini mhuu.Huwezi kuwa bongo na ukajua zaidi mambo ya internet zaidi ya mtu wa States aliyesomea huko na kuendelea kukaa huko akifanya kazi kwenye hightech ind. Achana naye,kwani nakuhurumia kwa kupoteza muda wako.
ReplyDeleteCa (Ont)
WOTE HAPO JUU MMECHANGANYIKIWA NA MABOX!!! Mnaona America ndio kila kitu,ngoja mswada wa bush kuhusu wahamiaji haramu upite mje huku muone joto ya jiwe na hivi hamsomi huko kazi MABOX tu mkipata hela ya majinzi na tshirt za kupigia picha ili mtume huku tuwaone mnapiga pamba na maisha yenu safi.SUBIRINI MUDA SIO MREFU MTAKUJA KUTUPIGA MIZINGA HUKU.
ReplyDelete