Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hata tukiwa na alama kama hizi ktk vyoo vya Umma, watatokea ma-mbwiga ambao bado watauliza Choo cha wanaume kipo wapi????...

    Halafu, mimi nina swali..
    Niliwahi shuhudia siku moja ktk baa fulani hapa bongo kijana mmoja shoga akiingia choo cha wanaweke. nilistaajabika kwa tukio lile lakini nikaambiwa huyo kijana ni shoga na kwenda choo cha wanawake ndio zake na ni ka-tabia general kwa mashoga wengi. I dont know how true that is lakini mimi nauliza.
    wasagaji nao huingia choo cha wanaume??...

    ReplyDelete
  2. Jamani huyo kaka huo mkojo balaa lol

    ReplyDelete
  3. Hizo alama bomba lakini lakini zinasisitiza juu ya mzigo mdogo tu! Asa zikitumika hapa bongo utahitaji kutoa maelezo ya ziada kila mara juu ya service ya mzigo mkubwa!!

    Labda hiyo nchi jamaa hawany.......!?

    ReplyDelete
  4. Wewe anonymous wa 8:55 PM hapo juu, wasagaji huhemewa sometimes hivyo nawao huingia choo ya wanawake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...