Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hata tukiwa na alama kama hizi ktk vyoo vya Umma, watatokea ma-mbwiga ambao bado watauliza Choo cha wanaume kipo wapi????...
ReplyDeleteHalafu, mimi nina swali..
Niliwahi shuhudia siku moja ktk baa fulani hapa bongo kijana mmoja shoga akiingia choo cha wanaweke. nilistaajabika kwa tukio lile lakini nikaambiwa huyo kijana ni shoga na kwenda choo cha wanawake ndio zake na ni ka-tabia general kwa mashoga wengi. I dont know how true that is lakini mimi nauliza.
wasagaji nao huingia choo cha wanaume??...
Jamani huyo kaka huo mkojo balaa lol
ReplyDeleteHizo alama bomba lakini lakini zinasisitiza juu ya mzigo mdogo tu! Asa zikitumika hapa bongo utahitaji kutoa maelezo ya ziada kila mara juu ya service ya mzigo mkubwa!!
ReplyDeleteLabda hiyo nchi jamaa hawany.......!?
Wewe anonymous wa 8:55 PM hapo juu, wasagaji huhemewa sometimes hivyo nawao huingia choo ya wanawake.
ReplyDelete