morani wengi wapo mijini wakifanya` shughuli mbali mbali kama vile ulinzi na ususi, lakini mila zao hawajazisahau kamwe. hapa wakiburudisha kwenye hafla fulani dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. I just hope it will come a day tutajadili matatizo ya
    1.vitambi (Over weight) na jisi linavyo tuua ma pema
    2. Sigareti na lini tutazipiga marufuku.
    Tungeiga mfano wa hawa ero s ! wanavyokata weight hapa baada ya kujaza ma cholestois toka kwenye nyama mbichi wanazokula
    God bless Tanzania
    J

    ReplyDelete
  2. Once were warriors!

    ReplyDelete
  3. Toka kuwa walinzi wa ng'ombe hadi walinzi wa nyumba za matajiri. Walahi...ndio uchumi mpya huo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...