Home
Unlabelled
nipo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kikwete kakubeba tena. Kweli una haki ya kuwa na photo point
ReplyDeletekuna jamaa alikuwa hapo hivi karibuni.ameniambia pembeni ya hayo majumba mazuri kuna watu wanaishi kwenye nyumba za maboksi!
ReplyDeleteNaona umekula pipa la bure tena ndani ya kwa mzee madiba siyo..Du powa tu lakini Kikwete mwambie apunguze safari za nje maana hatari si kutumia pesa za walipa kodi pekee bali chance za ajari angani zinakuwa kubwa.
ReplyDeleteSasa naamini Michudhi utakuwa unatuchukia sisi tunaopinga hizo safari za Mh JK. Lkn mkuu kumbuka kufanya jambo la maana kwenye hizo savings zako.
ReplyDeleteWe anony hapo juu unadhani Michudhi kama wewe ulieenda majuzi huko uliko? Mwenzenu kaanza kupaa hata kabla ya JK, hii kumjua juzi imekuwa nongwa? Kwa taarifa yako nimeenda Bongo majuzi na kumkuta jamaa yuko sawasawa, na saa ingine anapaa kivyake,tena business class. Sio kama wewe unapanda third class ama economy. Hivi kwa nini waswahili kujifanya kujua kila kitu? Jitokeze tuone wewe unafanya ama umefanya nini. Michudhi achana nao haters hao, wanakuonea gere, WATAJIJUUUUU!!!!
ReplyDeletemisupu mmesharudi na jk kutoka bondeni?hizo safari za jk zina ulakini,halafu unatushauri turudi bongo kiongozi anapaswa awe mfano mzuri lakini kwa staili hizo ndiyo maana watu waejilipua huku viwanja sababu bongo ni nchi ya kidhuluma,mambo yanaondelea hapo yanakera sana,mi nitakuja likizo tu,tupo kwenye nchi za watu ambazo zina haki kwa mtu wa chini ata ukiwa foreigner.god bless america.
ReplyDeleteMIMI SWALA LA JK LA KIGUU NANJIA LINANIKERA SANA,NAONA BADO KAZI YA UWAZIRI WA MAMBO YA NJE ANAITAKA, RAIS MZIMA UNAJUWA CHAIN OF COMAND KWANINI USIMTUMIE VP, AMA FOREGN MINISTER KUMALIZA DEAL NDOGO NDOGO? MAANA RAIS SI LAZIMA UENDE KILA SEHEMU UNAKUWA UNAJIPUNGUZIA UZITO..UNATAKIWA BWANA JK KUWA NA NYODO AND THAT WHEN YOU'LL GET YOU PRICE TAG HIGHER.
ReplyDeleteHivi Michuzi una miaka mingapi kwani naona umeanza kuwa kijeba, inawezekana wewe na Kikwete ngoma droooo ndo nyote mko kwenye fainali mnamalizia miaka ya kufanya kazi na kwenda kwenye Pension list. Ndo fainali hiyo michuzi lakini bora umeshaweka Fotopoint si haba.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteKUMPEBADO MCHINGA KISEZI UNAPIGA PICHA KWENYE MAGOROFA HILI!?
ReplyDeletejamani kaka michuzi si viedi hivyo, kaka Chella anakutafuta sana jamani ukija ukerewe tena mtafute mwenzio amekukosa sana. Anataka kukukumbushia mambo matamu ya enzi zenu.
ReplyDelete