jk alipotembelea soko la tandale kuangalia hali ya chakula mwanzoni mwa utawala wake ambapo ukame uliathiri kidogo hali ya mlo. hivi sasa kuna mvua za kutosha na matumaini kwamba mambo yatakuwa tambarare sehemu karibu zote za bongo. tumshukuru Mungu kwa majaaliwa haya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hebu michz soma hii hii leta halafu imwage huko kwenye blogu yako.

    http://www.esrftz.org/anticorruption/CORU_out2_inc_archive.asp?49

    itasaidia kupunguza propaganda.

    ReplyDelete
  2. Mtu wa watu!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. chelsea 2 arsenal 1
    Things are already better for chealsea fans.Get ready in May for Premier league trophy and FA CUP.

    ReplyDelete
  4. Michuzi

    Nimesoma hii document aliyoleta anon wa kwanza kwenye maoni. Kwa maoni yangu anon huyu anaweza kuwa ameenda tu kwenye archieve fulani akakopi na kuja kupesti hapa kwenye blog. Ingawa sina data kuhusu efficeincy ya port yetu lakini huyu jamaa anayejiita Mmarekani, nadhani kwanza sio mmarekani, ni mtu wa kujidai ni M us. Kwa ushauri wangu namtaka atuletee data za sasa ili tuone mambo yakoje. Haiingii akilini kuongelea Sumaye au Mkapa katika kipindi hichi cha JK. Na JK ameshaka kama mwaka na miezi minne sasa tangu aingie madarakani. I do believe there is a lot of improvement in various sectors.

    Naomba kutoa hoja

    ReplyDelete
  5. Utastaajabu,lakini ukweli ndioo huo huo uliopo.Mimi leo feb.2007 inabidi nipambane na watu wa insurance kama watanilipa control box na power windows,(total kama 1.7M market value,ingawa niotalipwa 50% only) zilizoibiwa pale baada ya gari kukaa pale kwa miezi 4 kutokana na ukiritimba kwenye system yote ya kutoa vitu bandarini.Halafu wao wanajua kabisa kwanini sikuweza kulitoa hilo gari mapema lakini bado wakanitoza mapesa kibao kwa ajili ya storage

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...