Home
Unlabelled
tandale
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hebu michz soma hii hii leta halafu imwage huko kwenye blogu yako.
ReplyDeletehttp://www.esrftz.org/anticorruption/CORU_out2_inc_archive.asp?49
itasaidia kupunguza propaganda.
Mtu wa watu!!!!!!!!
ReplyDeletechelsea 2 arsenal 1
ReplyDeleteThings are already better for chealsea fans.Get ready in May for Premier league trophy and FA CUP.
Michuzi
ReplyDeleteNimesoma hii document aliyoleta anon wa kwanza kwenye maoni. Kwa maoni yangu anon huyu anaweza kuwa ameenda tu kwenye archieve fulani akakopi na kuja kupesti hapa kwenye blog. Ingawa sina data kuhusu efficeincy ya port yetu lakini huyu jamaa anayejiita Mmarekani, nadhani kwanza sio mmarekani, ni mtu wa kujidai ni M us. Kwa ushauri wangu namtaka atuletee data za sasa ili tuone mambo yakoje. Haiingii akilini kuongelea Sumaye au Mkapa katika kipindi hichi cha JK. Na JK ameshaka kama mwaka na miezi minne sasa tangu aingie madarakani. I do believe there is a lot of improvement in various sectors.
Naomba kutoa hoja
Utastaajabu,lakini ukweli ndioo huo huo uliopo.Mimi leo feb.2007 inabidi nipambane na watu wa insurance kama watanilipa control box na power windows,(total kama 1.7M market value,ingawa niotalipwa 50% only) zilizoibiwa pale baada ya gari kukaa pale kwa miezi 4 kutokana na ukiritimba kwenye system yote ya kutoa vitu bandarini.Halafu wao wanajua kabisa kwanini sikuweza kulitoa hilo gari mapema lakini bado wakanitoza mapesa kibao kwa ajili ya storage
ReplyDelete