msanii ambwene yesaya a.k.a ay (shoto) akichill na wasanii wenzie kwenye uzinduzi wa tuzo za wanamuziki bora majuzi. ay ametengeneza na kufungua tovuti yake ambayo imetulia kama vibao vyake. bofya hapa uione. namfagilia sana kijana huyu hasa kwa kuamua kwenda na wakati na tuombe wenzie waige mfano huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. huyo wa kati kavaa gauni,shati au kanzu?
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  2. huyo aliesuka anachekesha mwee style nyingine waachieni wenyewe machizi wamarekani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...