
msanii ambwene yesaya a.k.a ay (shoto) akichill na wasanii wenzie kwenye uzinduzi wa tuzo za wanamuziki bora majuzi. ay ametengeneza na kufungua tovuti yake ambayo imetulia kama vibao vyake. bofya hapa uione. namfagilia sana kijana huyu hasa kwa kuamua kwenda na wakati na tuombe wenzie waige mfano huu


huyo wa kati kavaa gauni,shati au kanzu?
ReplyDeleteMANYUNYU
huyo aliesuka anachekesha mwee style nyingine waachieni wenyewe machizi wamarekani.
ReplyDeletetovuti Imetulia.
ReplyDelete