wadau kibao wameomba kumuona bi harusi vicky akitabasamu

i k

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. You look good dada Vicky!! Na uendelee kutabasamu vivyo hivyo kwa mumeo kwani hakuna zawadi nzuri kwa mume kama kurudi nyumbani na kupokelewa na tabasamu zuri la mkeo!! Keep smiling!

    ReplyDelete
  2. Umependeza sana lakini hapo kati mbona limekuwa loose sana shuti bibi harusi gown LIKUSHIKE!!! kama channel 5 mhh sijui wameshabadilisha msemo huu wa kuja kuwashika watazamaji?

    ReplyDelete
  3. Mbona kama sio yeye yule wa kwenye send off, au hapa pale alikuwa kashikiwa nafasi na mwingine yeye alikuwa na uzulu. yaani nimejaribu kulinganisha naona no correlation kabisa. ila hata huyu kapendeza lakini hamfikii yule wa kwenye send off.

    ReplyDelete
  4. amependeza!vipi,anawatoto wangapi?maana midume ya sasahivi haina maana,haikuoi mpaka ihakikishe umewatotolea.
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  5. duh mdomo huo autumie vizuri...

    ReplyDelete
  6. Hongere dada, ila inaonekana umri umekwenda kidogo uliwa wapi tangu siku zote. Huyo mumeo mshike sana maana vijana wa siku hizi hawatabiliki.

    ReplyDelete
  7. thats a a good picture. i hope she keeps smiling throughout their marriage.
    Congrats to the couple....
    joan

    ReplyDelete
  8. Hongera you look so good. All the best.

    Wewe annoy 30th 12:05 AM Kwani limit ya mtu kuolewa ni miaka mingapi? Mind yako bado ndogo kweli na ina elekea uko hapo bongo umedoda tu na kujicho kirefu. Kama wewe ulioa na miaka 20 au uliolewa na miaka 18 keep your opinion by yourself.

    Kwanza wewe unakalia kusema kaolewa mkubwa inaelekea hauko happy na maisha yako. Na kama umeolewa basi ndoa yako ni ya mchoko. Wewe kuangalia mtu kaolewa na umri gani yanakuhusu nini. She is happy that is all counts. She is nore more matured and she knows what she real want in a man. She finally found her MR right. Utalijua jiji.

    ReplyDelete
  9. Looking great girlfriend. Absolutely gorgeous. Miss you

    ReplyDelete
  10. Hongera sana dada vicky kwa kuukacha ukapera nakutakia maisha marefu na mumeo mzae na mjukuu watoto wenye maadili mema,

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 02, 2007

    Jamani msimwomee huyu bibie sio mzee kabisa ila ana sura ya kizee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...