Home
Unlabelled
bi harusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
You look good dada Vicky!! Na uendelee kutabasamu vivyo hivyo kwa mumeo kwani hakuna zawadi nzuri kwa mume kama kurudi nyumbani na kupokelewa na tabasamu zuri la mkeo!! Keep smiling!
ReplyDeleteUmependeza sana lakini hapo kati mbona limekuwa loose sana shuti bibi harusi gown LIKUSHIKE!!! kama channel 5 mhh sijui wameshabadilisha msemo huu wa kuja kuwashika watazamaji?
ReplyDeleteMbona kama sio yeye yule wa kwenye send off, au hapa pale alikuwa kashikiwa nafasi na mwingine yeye alikuwa na uzulu. yaani nimejaribu kulinganisha naona no correlation kabisa. ila hata huyu kapendeza lakini hamfikii yule wa kwenye send off.
ReplyDeleteamependeza!vipi,anawatoto wangapi?maana midume ya sasahivi haina maana,haikuoi mpaka ihakikishe umewatotolea.
ReplyDeleteMANYUNYU
duh mdomo huo autumie vizuri...
ReplyDeleteHongere dada, ila inaonekana umri umekwenda kidogo uliwa wapi tangu siku zote. Huyo mumeo mshike sana maana vijana wa siku hizi hawatabiliki.
ReplyDeletethats a a good picture. i hope she keeps smiling throughout their marriage.
ReplyDeleteCongrats to the couple....
joan
Hongera you look so good. All the best.
ReplyDeleteWewe annoy 30th 12:05 AM Kwani limit ya mtu kuolewa ni miaka mingapi? Mind yako bado ndogo kweli na ina elekea uko hapo bongo umedoda tu na kujicho kirefu. Kama wewe ulioa na miaka 20 au uliolewa na miaka 18 keep your opinion by yourself.
Kwanza wewe unakalia kusema kaolewa mkubwa inaelekea hauko happy na maisha yako. Na kama umeolewa basi ndoa yako ni ya mchoko. Wewe kuangalia mtu kaolewa na umri gani yanakuhusu nini. She is happy that is all counts. She is nore more matured and she knows what she real want in a man. She finally found her MR right. Utalijua jiji.
Looking great girlfriend. Absolutely gorgeous. Miss you
ReplyDeleteHongera sana dada vicky kwa kuukacha ukapera nakutakia maisha marefu na mumeo mzae na mjukuu watoto wenye maadili mema,
ReplyDeleteJamani msimwomee huyu bibie sio mzee kabisa ila ana sura ya kizee.
ReplyDelete