niko na wadau wa kijiwe cha brake point, kijitonyama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hilo pozi la picha lina mashaka,mko karibu na kaunta halafu meza nyeupe hivyo.Jamaa mwenye shati white kashikilia bia yake na ya michuzi kwa chini,wambura nae kaficha yake down kwa mkono wake wa kulia.Aliyewapiga picha ye hana noma kwa kuwa bambucha..kaiacha mezani,aahaha ahahahha!

    ReplyDelete
  2. Nakubaliana kabisa na Annony wa Kwanza..

    Kuna baadhi ya details zimefichwa, hizo sura sio za kukaa kaunta kavu-kavu na kuweka Bamboocha moja mezani. Mmeficha "kilaji".

    ReplyDelete
  3. Michu umenikumbushia rafiki yangu wambura hapo mwambie namsalimia sana, jamaa yake wa MA aliyekuwa anapiga nae buku kwake yeye mwenyewe atajua ni nani. Safi sana ila jamaa namkubali ni kichwa sana huyu, sema Simba hawapendi watu principled.

    ReplyDelete
  4. huyo wa kati mwenye shati jeupe ni Harrison Mtembei,mweka hazina msaidizi mstaafu wa Simba na mmiliki wa Break Point.

    ReplyDelete
  5. Issa unafanya nini na hao watu wa Friends of Simba au ndio mikakati ya kumtorosha kocha Nielsen ili mumkomoe kadu simba wa yuda?

    ReplyDelete
  6. Michuzi sasa unaharibu HAO WOTE ULIOKAA NAO NI SIMBA friends,hiyo break point ni chambo tu kama na wewe ni SIMBA tuambioane?? leta na picha za sanaa pub ndio kwenu kote !!

    ReplyDelete
  7. Hiyo ni mirinda au fanta...wewe michuzi unatutamanisha soda hizo zinakuaga sio za baridi sana na hilo joto la dar basi inashuka tu.

    ReplyDelete
  8. Angalia Michuzi!Auditing kule TFF juu ya michuzi iliyoyeyuka enzi ya FAT inaendelea na wewe tunakuona `live` unakandamiza na jamaa mabaki ya chenji.Watakuhoji mzee kama jamaa bado anamwaga round kwa kasi ileile?

    ReplyDelete
  9. We mtoa comment wa kwanza hapo juu umenimaliza kwa kweli! Umenifurahisha mno kwa analysis sawia ya hii picha.

    Hawa jamaa wako kijiwe maarufu kwa pombe na pia maarufu kwa kuwa Usalama wa Taifa ndo genge lao la u-drinko. Sasa la kushangaza, Michuzi na msanii Wambura mmekalia meza bila chochote! Ondokeni waacheni wenye kutaka kunywa wanywe! Sana sana msipokuwa waangalifu, Kunguru atawachafua sasa hivi!

    ReplyDelete
  10. LOL! Kumbe tuko wengi, nilidhani ni mimi tu....:). Michu nitumie Fanta na Mirinda. Majuu hakuna hizo.

    ReplyDelete
  11. Ndo maana mpira wa bongo haundelei vichwa kama hawa akina wambura hawapewi chance,kuongoza kidogo tu Simba watendaji wakaona wanazibiwa ridhki wakamtimua wamebaki kuweka mijitu shule haijaenda hadi kocha anawakimbia.waje huku ughaibuni wataona jinsi timu zote zinaendeshwa na wasomi kupanga maendeleo uwanjani na klabuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...