Home
Unlabelled
brake point
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hilo pozi la picha lina mashaka,mko karibu na kaunta halafu meza nyeupe hivyo.Jamaa mwenye shati white kashikilia bia yake na ya michuzi kwa chini,wambura nae kaficha yake down kwa mkono wake wa kulia.Aliyewapiga picha ye hana noma kwa kuwa bambucha..kaiacha mezani,aahaha ahahahha!
ReplyDeleteNakubaliana kabisa na Annony wa Kwanza..
ReplyDeleteKuna baadhi ya details zimefichwa, hizo sura sio za kukaa kaunta kavu-kavu na kuweka Bamboocha moja mezani. Mmeficha "kilaji".
Michu umenikumbushia rafiki yangu wambura hapo mwambie namsalimia sana, jamaa yake wa MA aliyekuwa anapiga nae buku kwake yeye mwenyewe atajua ni nani. Safi sana ila jamaa namkubali ni kichwa sana huyu, sema Simba hawapendi watu principled.
ReplyDeletehuyo wa kati mwenye shati jeupe ni Harrison Mtembei,mweka hazina msaidizi mstaafu wa Simba na mmiliki wa Break Point.
ReplyDeleteIssa unafanya nini na hao watu wa Friends of Simba au ndio mikakati ya kumtorosha kocha Nielsen ili mumkomoe kadu simba wa yuda?
ReplyDeleteMichuzi sasa unaharibu HAO WOTE ULIOKAA NAO NI SIMBA friends,hiyo break point ni chambo tu kama na wewe ni SIMBA tuambioane?? leta na picha za sanaa pub ndio kwenu kote !!
ReplyDeleteHiyo ni mirinda au fanta...wewe michuzi unatutamanisha soda hizo zinakuaga sio za baridi sana na hilo joto la dar basi inashuka tu.
ReplyDeleteAngalia Michuzi!Auditing kule TFF juu ya michuzi iliyoyeyuka enzi ya FAT inaendelea na wewe tunakuona `live` unakandamiza na jamaa mabaki ya chenji.Watakuhoji mzee kama jamaa bado anamwaga round kwa kasi ileile?
ReplyDeleteWe mtoa comment wa kwanza hapo juu umenimaliza kwa kweli! Umenifurahisha mno kwa analysis sawia ya hii picha.
ReplyDeleteHawa jamaa wako kijiwe maarufu kwa pombe na pia maarufu kwa kuwa Usalama wa Taifa ndo genge lao la u-drinko. Sasa la kushangaza, Michuzi na msanii Wambura mmekalia meza bila chochote! Ondokeni waacheni wenye kutaka kunywa wanywe! Sana sana msipokuwa waangalifu, Kunguru atawachafua sasa hivi!
LOL! Kumbe tuko wengi, nilidhani ni mimi tu....:). Michu nitumie Fanta na Mirinda. Majuu hakuna hizo.
ReplyDeleteNdo maana mpira wa bongo haundelei vichwa kama hawa akina wambura hawapewi chance,kuongoza kidogo tu Simba watendaji wakaona wanazibiwa ridhki wakamtimua wamebaki kuweka mijitu shule haijaenda hadi kocha anawakimbia.waje huku ughaibuni wataona jinsi timu zote zinaendeshwa na wasomi kupanga maendeleo uwanjani na klabuni.
ReplyDelete