mambo mapya ya new dar west club tabata. jinsi inavyopigwa sopu-sopu inatia raha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. michuzi we endelea kuwekeza tu,sisi tutakuja kukusapoti tukishuka hapo,sasa unaifungua lini?

    ReplyDelete
  2. its good lakini ujenzi wa kibongo bongo bwana ni wa kizamani sana na gharama kubwa mfano hapo badala ya kujenga permanent structure za hayo maua kama walivyofanya wangeweza kuweka makarai makubwa ya cement kama hayo ambayo ni removable & cheap na yanapendeza zaidi

    ReplyDelete
  3. Hey michuzi naomba unikumbushe, kuna kipindi ulitoa simu fulani za mkononi zilizoingia bongo ambazo unalipa kwa mwezi na unaongea unavotaka.
    nimetafuta kumbukumbu lazini sikufanikiwa ukinipa website yao nitashukuru sana.
    j4watson@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. Unajua Michuzi, nafurahishwa sana na vitu unavyovitoa. Ni kweli sasa hivi Tanzania inaendelea, lakini mimi naona ni Dares-salaam tuu inayoendelea. Naomba sana ufanye kidogo kukumbuka maisha ya walio vijijini. Mfano mzuri ni kama ile story ya Jeff ya wanafunzi wa Morogorogo. vitu kama vile vinahitaji macho yenu nyinyi mnaosafiri na wakubwa.

    ReplyDelete
  5. MAN U 3 - ROMA 2

    ReplyDelete
  6. MICHUZI NA BWAWA LA MAINI UTAFIKIRI TIMU NYINGINE HUWA HAZICHEZI CHAMA LAKO LIKICHEZA UKO RADHI HATA KAMA MPIRA UTAISHA SAA 7 USIKU ZA HUKO UPOST MATOKEO HAYA SASA TUONE NA LEO SIJUI UTAFANYAJE NA HUKO DAR WEST UNA SHARE NINI MSHIKAJI MANAKE HIZI PROMO NI SO ANY WAY CHELSEA 2 LIVERPOOL1 NYIE KAMA YANGA TU HAMNA TOFAUTI SANA

    POST MBELE HIZI COMMENTZ PLIZ
    RAM-KIONGOZI

    ReplyDelete
  7. Sir Issa.. HUYO ALIYE PLANI HAPO MTAALAM KWELI KAKA...NAOMBA IKIKAMILKA TULETEE PICHA..USIONE VYAELEA VIMEUNDWA DU.?????

    ReplyDelete
  8. Babu MICHU,hapo Dar west nasikia mtu 2000 huingia kulicheza Twanga,hiyo ni kabla ya ukarabati je sasa itakuwaje.Tukishuka bongo kitakuwa ndo kijiwe chetu hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...