Home
Unlabelled
dar westi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi we endelea kuwekeza tu,sisi tutakuja kukusapoti tukishuka hapo,sasa unaifungua lini?
ReplyDeleteits good lakini ujenzi wa kibongo bongo bwana ni wa kizamani sana na gharama kubwa mfano hapo badala ya kujenga permanent structure za hayo maua kama walivyofanya wangeweza kuweka makarai makubwa ya cement kama hayo ambayo ni removable & cheap na yanapendeza zaidi
ReplyDeleteHey michuzi naomba unikumbushe, kuna kipindi ulitoa simu fulani za mkononi zilizoingia bongo ambazo unalipa kwa mwezi na unaongea unavotaka.
ReplyDeletenimetafuta kumbukumbu lazini sikufanikiwa ukinipa website yao nitashukuru sana.
j4watson@yahoo.com
Unajua Michuzi, nafurahishwa sana na vitu unavyovitoa. Ni kweli sasa hivi Tanzania inaendelea, lakini mimi naona ni Dares-salaam tuu inayoendelea. Naomba sana ufanye kidogo kukumbuka maisha ya walio vijijini. Mfano mzuri ni kama ile story ya Jeff ya wanafunzi wa Morogorogo. vitu kama vile vinahitaji macho yenu nyinyi mnaosafiri na wakubwa.
ReplyDeleteMAN U 3 - ROMA 2
ReplyDeleteMICHUZI NA BWAWA LA MAINI UTAFIKIRI TIMU NYINGINE HUWA HAZICHEZI CHAMA LAKO LIKICHEZA UKO RADHI HATA KAMA MPIRA UTAISHA SAA 7 USIKU ZA HUKO UPOST MATOKEO HAYA SASA TUONE NA LEO SIJUI UTAFANYAJE NA HUKO DAR WEST UNA SHARE NINI MSHIKAJI MANAKE HIZI PROMO NI SO ANY WAY CHELSEA 2 LIVERPOOL1 NYIE KAMA YANGA TU HAMNA TOFAUTI SANA
ReplyDeletePOST MBELE HIZI COMMENTZ PLIZ
RAM-KIONGOZI
Sir Issa.. HUYO ALIYE PLANI HAPO MTAALAM KWELI KAKA...NAOMBA IKIKAMILKA TULETEE PICHA..USIONE VYAELEA VIMEUNDWA DU.?????
ReplyDeleteBabu MICHU,hapo Dar west nasikia mtu 2000 huingia kulicheza Twanga,hiyo ni kabla ya ukarabati je sasa itakuwaje.Tukishuka bongo kitakuwa ndo kijiwe chetu hapo.
ReplyDelete