Home
Unlabelled
kifaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu jamaa lazima alitoa kaushuzi kadogo alivyokuwa anapuliza maana duuuh si mchezo.
ReplyDeleteNimewahi kusikia once kuwa ukitaka kuharibu shughuli za hawa jamaa wanaopuliza haya matarumbeta basi shika Ndimu karibu nao wakiwa kazini.
ReplyDeleteHuwa wanashindwa kuendelea na kibarua chao.
hii ni kweli????... Wadau naomba tuwekane sawa ktk hili
Sir Issa...huyu...HAJAWAHIPATA TUZO LA MWANAMUZIKI BORA KWELI..??? EEH...WATAKUWA WAMEMUONEA KAKA...
ReplyDeleteNasikia ukipuliza hilo kwa mda mrefu lazima busha liote.
ReplyDeleteMwambie anywe maziwa...afya yake inaonekana kudorora.Mzee huyu sasa anatakiwa kulelewa na wajukuu....huu sio umri wa kufanya shughuli kama hiyo.
ReplyDeletemh huyu baba ashauriwe aende hospitali hicho kitu chini ya kidevu kilichoota baada ya kupuliza tarumbeta asikiangalia tu kinaweza kumharibia kibarua eti! maana hilo tarumbeta limedisfigure shingo
ReplyDelete