wachezaji wa simba wa enzi hizo wakiwa kambini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hii stile ya malyzone sidhani kama inawea rudi duh!!!

    ReplyDelete
  2. jamaa hapo wanne kushoto kakamata ipod version 0 highest technology with am and fm radio

    ReplyDelete
  3. Tadhali anayejua majina ya wachezaji hawa atujulishe

    ReplyDelete
  4. kutoka kushoto yusuf kaungu,martin kikwa,aluu alli,ismail mwarabu,mohamed bakari"tall",iddi kibonye,simjui,mohamed kajole"machela",simjui.

    ReplyDelete
  5. Nadhani wa mwisho au kwanza kulia ni John Semainda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...