Home
Unlabelled
kupitiliza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dah!! Hii aibu ndio Ubaya wa mipombe ya bure unafakamia tu bila kipimo hayo ndio matokea yake shenzi hawa!!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteUna miss-use matumizi ya nene 'Wadau'..
U need to apologise to us, tunaotembelea blog yako.
I think personally I'm better of than the drunken people (possibly gate crashers) at a wedding party.
Zingatia matumizi ya Lugha zako michuzi.
clarify your statement 'Wadau" ktk caption ya hiyo picha
Bia za bure bongo zina matatizo..haya ona sasa matokeo yake mmezima magari. Mnafakamia tu vya buree bila kuangilia.
ReplyDeleteSir Issa...MZEE WA MATUKIO..HAWA WANDUGU INAELEKEA WALITOA MCHANGO MKUBWA...:)))))
ReplyDeleteKumbe kuna watu wabaya! Mnamsema Da'Chemi kwa vile anakunywa Konyagi. Cheki hao walevi walivyo hoi baada ya kunywa mabia! Hao ndo walevi wa kweli.
ReplyDeleteBalaa kubwa sana!
ReplyDeletegate crashers?
ReplyDeleteWatu wa uzwari pombe za kienyeji maaara leo safari?Watakunywa mpaka waogee,itamchukua muda kichizi mpaka nafasi kama hii itokee tena.
ReplyDelete?Du ? huyo demu naye?? ndo wale wanaolaliaga watoto wao usiku gambe zikiwazidi (gambe au monde ni ulabu)Noma sana!! nafikiri kwa staili hiyo Ukimwi nje, nje mana hujijui unastukia ulivaa kondomu dole gumba la mguu. Mwe!
ReplyDeleteMdau -Africa Mpya.
?Du ? huyo demu naye?? ndo wale wanaolaliaga watoto wao usiku gambe zikiwazidi (gambe au monde ni ulabu)Noma sana!! nafikiri kwa staili hiyo Ukimwi nje, nje mana hujijui unastukia ulivaa kondomu dole gumba la mguu. Mwe!
ReplyDeleteMdau -Africa Mpya.
Wedding Crashers!?
ReplyDeleteKwani unakunywa Pombe uweje... Ndo output ya Pombe hiyo.. Waache waendelee kukamua
ReplyDeletekamueni wakubwa ndo jamaa kaoa... Tena kojoeni kabisa hapo
ReplyDeleteUnajua sometimes sisi waswahili hatuna ustaraabu kabisa tunapoalikwa kwenye sherehe hata kama utakuwa umetoa mchango kisiwe kigezo cha wewe kunywa hadi kulewa kiasi hicho utafikiri labda waliambiwa kiwanda cha TANZANIA BREWERIES kinafungwa na kwamba hawatatengenza bia tena saa zingine tunatia aibu sana halafu kwa huyo mwanamke akitoka hapo akibakwa sijui atasema nini?
ReplyDeleteBraza michu nafikir wao wenyewe wakiiona hii picha watakuwa wanaona aibu sana.
Sasa hawa walevi warudi vipi Home? Probably walilala Girafee!
ReplyDeleteWaacheni wa enjoy life is short.
ReplyDeleteWamejinyweazao wakiamka zimepungua wanarudi home.Tatizo lenu nini?
Hao jamaa ndio wale wenye tabia ya kuhakikisha wanakunywa pesa yao yote waliyochanga kwenye harusi, hawafai kabisa.
ReplyDeleteMwakyembe
Mnamsema tu huyo mwanamke akibakwa..kwani mwanaume yeye hawezi kubakwa kalewa hivi? Dunia ya leo sio msichana tu kuogopa kubakwa hata mwanaume anabakwa tu siku hizi.
ReplyDeleteNa pia hata mnaosema si ndio mwanzo wa kuambukizwa ukimwi ukiwa umelewa hivi...kumbe mnasahau kuwa na kwa waliosober ndio mwanzo wa kupata ukimwi. Wewe ukipamia tu watu kwa vile wamelewa hata wewe utajiokotea virusi vyako hapo. Kumbukeni sio kila mtu anapata ukimwi tu kunawengine wanatoa ukimwi?
ooooh lea safari baridi ,kaletewa kachemsha
ReplyDelete